babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Kama wakenya wenyewe hawapendi nyimbo za wasanii wao 😂😂😂 unategemea nini sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mziki gani wa kenya?.
imagine vijana hawa wa nairobi ambao video zao zinatrend sana huko kwa sasa huko kenya ndio wangeletwa dar ku perform kwenye wasafi festival, bila shaka wangeishia kuzomewa.
tazama takataka hii.
Kipi hapo out of context..hku kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni na kujieleza...Unaongeaga vitu out of context kabisa sijui unafikiri Unaongeaga na watoto wadogo, ndio maana nilikuulizaga una umri gani.
Laivany, lavalava, kiba sasa wewe taja mmoja tu anaeweza tikisa bongoNitajie msanii kando ya harmonize na diamond anayeweza jaza show nairobi...
Hamna kitu nyie
Eti afrika ya kati, we yaonekana fuat upepo tu..kw taarifa yako diamond hana kitu, mbwembwe tu zile...
Eti afrika ya kati, fally ipupa na kina koffi olamide vp?
Kamuulize rais wenu kwanini aliimba Extravaganza ya Sauti Sol mbele ya umati badala ya kuwa mzalendo na kutaja nyegezi au ngololoo.
Hawamzidi diamond Acha kuleta siasa kwenye burudaniSauti soul wangeliitwa hapo, mngelijionea maajabu..wale watu wanajua sana, sidhani km kuna mtu angeliwafunika kwenye jukwaa..
Manake kw live show tu, hawana mpinzani EAC..
Cheki hyo kwanza[emoji116][emoji116]
Mbona waenda mbele na kurudi nyuma [emoji38][emoji38]Kinacho wasumbua ni unafiki na wivu, wakenya ni wajanja sana...ukishampa nafasi moja tu, basi anafunga goli..
Cheki akothee alikua msanii local tu sana, alipopata chance ya kufanya collabo na diamond tu, dem alivuruga mpka naija na sauz..
Sasa diamond ajichanganye, afanye collabo na msanii wa kenya mwenye yuko poa kimziki, atashangaa..
Akothee ni vile tu hayuko vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa kiboko yao sanaHawa wakenya wakishindwa, ndio huanza kuhitaji ushirikiano, mbona sisi hatuhitaji kushirikiana nao katika "Marathon ".
Utakumbuka wakati tunapata Uhuru, walikataa kuungana na sisi kwasababu Kenya ilikua na hali nzuri ya uchumi zaidi ya Tanzania, sasa hivi wanaona uchumi wao unayumba, wanalazimisha tuungane na kuilaumu Tanzania kuchelewesha muungano wa EAC.
Jamani...tuusan mbna siku hz akili zako zimeganda..Mbona waenda mbele na kurudi nyuma [emoji38][emoji38]
Sasa hapo mkali Ni Akothee Au Diamond??Maana mond yeye hashuki anazidi kupanda
We ukitaka pinga tu..Hawamzidi diamond Acha kuleta siasa kwenye burudani
Wale jamaa ni level nyngine kabisa...walitamba afrika nzima, yani popote kambi kwao waleSasa hao c wakubwa wenzake waliotamba enzi hizo sasa hivi zilipendwa
Laivany, lavalava, kiba sasa wewe taja mmoja tu anaeweza tikisa bongo
Naona mmoja tu ambae kafikia level za kueleweka...
Harmonize, hao wengine bado sana..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wasiseme hujawaambiaJiraniz nyie muendelee kukimbia na rugby. Hili la burudani ya muziki muiache kwa Bongoland 🙂