Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Fact.Wasafi festival is not a charity festival , it’s pure business , if you have high demand your brand can compete on our market.
These Kenyan fools should learn this before spitting nonsense
We (Tz)have never demanded reciprocity on Nigerian Music shows due to the fact that Nigerian artists have high demand comparing to ours, it’s just a simple fact .
Sauti soul wangeliitwa hapo, mngelijionea maajabu..wale watu wanajua sana, sidhani km kuna mtu angeliwafunika kwenye jukwaa..
Manake kw live show tu, hawana mpinzani EAC..
Cheki hyo kwanza[emoji116][emoji116]
Mbna umekurupuka...Kwani ni lazima kuwaita wakenya?, show bila wakenya haiendi?
Pumba tupu...zaidi ya wasafi mna nn tena...Wasafi festival is not a charity festival , it’s pure business , if you have high demand your brand can compete on our market.
These Kenyan fools should learn this before spitting nonsense
We (Tz)have never demanded reciprocity on Nigerian Music shows due to the fact that Nigerian artists have high demand comparing to ours, it’s just a simple fact .
Kinacho wasumbua ni unafiki na wivu, wakenya ni wajanja sana...ukishampa nafasi moja tu, basi anafunga goli..Fact.
Vyovyote utakavyosemaKinacho wasumbua ni unafiki na wivu, wakenya ni wajanja sana...ukishampa nafasi moja tu, basi anafunga goli..
Cheki akothee alikua msanii local tu sana, alipopata chance ya kufanya collabo na diamond tu, dem alivuruga mpka naija na sauz..
Sasa diamond ajichanganye, afanye collabo na msanii wa kenya mwenye yuko poa kimziki, atashangaa..
Akothee ni vile tu hayuko vizuri
Wacha ujinga! U r bad!Mimi sio fanatic wa entertainment kiviile lakini hii video imenigusa, halafu huyu mkenya yupo down to earth kichizi na ndio maana nimemuelewa point yake, WCB should take notes from the guy
Wanajifungia kenya, lkn kinachoshangaza mziki wa kenya unalipa vizuri hata kuliko hko kwenu...Vyovyote utakavyosema
Huwa kila siku nawaambieni jaribuni kushirikisha angalau ubongo kile mnachopreply hapa,
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza,
Shida ya wasanii wenu ni kujifungia kenya, Hawajitumi ipasavyo kwenye kutangaza kazi zao,
Hawafanyi media tour ili wajitangaze,
Wanaiga ovyo ovyo badala wajikite kwenye kitu kinachoeleweka,
Hawawekezi ipasavyo kwenye kazi zao ,
Hawana management za maana zinazochakarika huku na kule ,
Hawajibrandi ipasavyo.
Hahahah kichekesho cha siku 😂😂😂Wanajifungia kenya, lkn kinachoshangaza mziki wa kenya unalipa vizuri hata kuliko hko kwenu...
Sasa unataka mtu ajisumbue na hvyo vyote wakati jamaa mziki kwake sio tegemeo sana km walivyo wasaanii wengi wa kenya...
Utakuta jamaa ni doctor, architec n.k
Sio km hko kwenu msanii hta form1 hajui ikoje.. ndio manake ma celeb wenu hufanyika vitu vya kijinga jinga kw kutokua na elimu ya maana
Kama elimu ndio imejaza watu jana pale wasafi fanyeni na kwenuWanajifungia kenya, lkn kinachoshangaza mziki wa kenya unalipa vizuri hata kuliko hko kwenu...
Sasa unataka mtu ajisumbue na hvyo vyote wakati jamaa mziki kwake sio tegemeo sana km walivyo wasaanii wengi wa kenya...
Utakuta jamaa ni doctor, architec n.k
Sio km hko kwenu msanii hta form1 hajui ikoje.. ndio manake ma celeb wenu hufanyika vitu vya kijinga jinga kw kutokua na elimu ya maana
Thats not our culture bro...Kama elimu ndio imejaza watu jana pale wasafi fanyeni na kwenu
Pumba tupu...zaidi ya wasafi mna nn tena...
Na hii show ya wasafi festival imeonesha kwamba Tanzania ndio capital of entertainment Africa, nimesoma comments kutoka Nigeria, Ghana, SA, Tanzania,... Kila mtu anasema hii show ni Hollywood standard haijawahi kutokea, wa Nigeria hawaamini, stage ni world standards and everythingHahahah kichekesho cha siku 😂😂😂
Muziki wenu unalipa my foot,
Mara ngapi wasanii wenu wanalalamika hawalipwi vizuri huku wakilaumu kuwa wasanii wa Tanzania wanalipwa vizuri huko,
Hiyo elimu ya maana imewasaidia nini wasanii wenu mbona bado wako local sana,
Kama mziki sio tegemeo kwa wasanii wenu sasa mbona kila mara ni kulalamika tu,
Muziki wa Tanzania ni kama maji usipoyanywa lazima utayaoga tu yaani,
Wasanii wenu hawavuki border wanaishia tu huko Wakati wasanii wetu karibia wote wanafahamika huko kutokana na kuwa ni wajanja wanaenda na Wakati wanajua soko linataka nini.
Miezi miwili iliyopita walikuja kufanya show Dar, walifanya katika ukumbi mdogo sana lakini watu hawakujaa, Mziki wa Kenya ni bado sanaSauti soul wangeliitwa hapo, mngelijionea maajabu..wale watu wanajua sana, sidhani km kuna mtu angeliwafunika kwenye jukwaa..
Manake kw live show tu, hawana mpinzani EAC..
Cheki hyo kwanza[emoji116][emoji116]
Ali Kiba, Nandy, Ashlay, Darasa, Prof. Jay, Harmonize, Mario...Pumba tupu...zaidi ya wasafi mna nn tena...
I meant huyo anayelalamika kizuri kinajiuza! Mbona hufanya concerts na hawaaliki Wabongo!? Hapo wanatengeneza fitna!Wacha ujinga! U r bad!