Nimeangalia video ya huyu Mkenya, WCB wanatakiwa kuitafakari

 
Nyashinki.....sijui ndio anavyoandikwa hivyo???? I mean spelling

Huyu mwamba namkubali Sana.... Jumbe zake ziko matured Sana.

Angeitwa huyo na Sauti Sol.....
 
I meant huyo anayelalamika kizuri kinajiuza! Mbona hufanya concerts na hawaaliki Wabongo!? Hapo wanatengeneza fitna!
Hawa wakenya wakishindwa, ndio huanza kuhitaji ushirikiano, mbona sisi hatuhitaji kushirikiana nao katika "Marathon ".

Utakumbuka wakati tunapata Uhuru, walikataa kuungana na sisi kwasababu Kenya ilikua na hali nzuri ya uchumi zaidi ya Tanzania, sasa hivi wanaona uchumi wao unayumba, wanalazimisha tuungane na kuilaumu Tanzania kuchelewesha muungano wa EAC.
 
Km kawaida yako, off topic
 
Management ya wasafi haikufanya poa...wakumbuke kenya pia wana soko kubwa tu, sidhani km hko congo na nigeria ana soko ki vile km kenya..

So management ndio tatizo
Kenya kwao sawa na msumbiji tu
 
Reactions: rr4
Ali Kiba, Nandy, Ashlay, Darasa, Prof. Jay, Harmonize, Mario...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], hapo jembe ni kiba tu..
Halafu uwache kuwataja kiba na prof.jay pamoja na hao vikaragosi
 
Ndio wanajua shida inayokuja nyimbo zao hazijapenya bado bongo sasa itakua kama ndo kwanza wanaitambulisha wakati raha ya show bashabiki wanajua kabisa akipanda fulani tunategemea kupata radha fulani ndio maana wanashangilia sasa utamshangiliaje msaa wakati hujui nyimbo zake? Mziki kazi sio siasa kusema lazima na chamafulani kishiriki tu ilimradi
Sauti soul wangeliitwa hapo, mngelijionea maajabu..wale watu wanajua sana, sidhani km kuna mtu angeliwafunika kwenye jukwaa..
Manake kw live show tu, hawana mpinzani EAC..

Cheki hyo kwanza[emoji116][emoji116]
 
kwa mziki gani wa kenya?.

imagine vijana hawa wa nairobi ambao video zao zinatrend sana huko kwa sasa huko kenya ndio wangeletwa dar ku perform kwenye wasafi festival, bila shaka wangeishia kuzomewa.

tazama takataka hii.
 
Miezi miwili iliyopita walikuja kufanya show Dar, walifanya katika ukumbi mdogo sana lakini watu hawakujaa, Mziki wa Kenya ni bado sana
Watu hawakujaa kw sababu ya wivu na chuki....
Sisi hku msanii akija km anaweza watu wataenda tu, hapana tambua ujamaa kila mtu na kichwa chake...

Yani hapo kw live perfomance watsubiri sana mpka wafikie level hyo..sauti sol ni habari nyngine...popote wanapiga show na watu wanaridhika, unafikiria ni kila mtu anafurahia show ya kuruka ruka jukwaani?
Labda wahuni na walevi
 
Good
 
Naona mmoja tu ambae kafikia level za kueleweka...
Harmonize, hao wengine bado sana..
 
Kwanza wakenya kama nani
Ungelijua vile wasanii wa bongo wanavyotamani kuitwa show kenya, usingeliandika pumba hapa...

Yani ndoto yao ni kupiga show kenya, jamaa akidhafanikiwa anajikuta amepiga hatua kubwa sana
 
Unalipa kuliko bongo we ushawahi kuimba au unaongea kama umevishwa khanga tu , msanii Namba 1 EAC NA KATI Diamond, mwenye Pesa nyingi bado Diamond sasa huko Kenya unalipa kuliko bongo unalipa nini
 
Na sio mziki tu hata wachezaji wa mpira bongo mpira unalipa kuliko Kenya yani bongo ni sawa na England kila mchezaji wa Kenya anatamani achezee bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…