Nimeangalia video ya huyu Mkenya, WCB wanatakiwa kuitafakari

Aha kumbe kerere zooote kwasababu ya kushiriki wasanii wa zamani, Lengo la Diamond kuachukua wasanii wa zamani sio kama alishindwa kupiga wenyewe tu wakajaza watu la, lengo ni ujamaa sababu kubwa ni kuendelea kuwapa chati wasanii wa ndani walio kufa ili kuwafufua sasa unaposema angemchukua na msanii wa Kenya unakua hauleweki kenya inahuusiano gani na bongo fleva kwa ninyi na ujamaa wapi na wapi lengo ilikua nao wapate visent ulitaka Diamond awapange mstari kuwagawia Pesa ? Na lile tamasha halihusiani na EAC
 
Unalipa kuliko bongo we ushawahi kuimba au unaongea kama umevishwa khanga tu , msanii Namba 1 EAC NA KATI Diamond, mwenye Pesa nyingi bado Diamond sasa huko Kenya unalipa kuliko bongo unalipa nini
Jf kumejaa wajinga kwel...
Wasanii wengi wa tanzania ni maskini tu...willy paul ni tajiri hata kuliko wasanii wengi sana hko kwenu..sijakutajia kigogo,

Halafu wacha kudanganya watu hapa, akina josè chameleon umewaacha wapi..mbna sometime hamfikirii mnapoandika vitu
 
Unalipa kuliko bongo we ushawahi kuimba au unaongea kama umevishwa khanga tu , msanii Namba 1 EAC NA KATI Diamond, mwenye Pesa nyingi bado Diamond sasa huko Kenya unalipa kuliko bongo unalipa nini
Eti afrika ya kati, we yaonekana fuat upepo tu..kw taarifa yako diamond hana kitu, mbwembwe tu zile...
Eti afrika ya kati, fally ipupa na kina koffi olamide vp?
 
Nitajie msanii kando ya harmonize na diamond anayeweza jaza show nairobi...

Hamna kitu nyie

Stop fingering your holes..

You are asking and answering yourself at the same time.

Both artists you have mentioned are from Tz , Do you think there is any artist from Kenya who can even get a show on a birthday party ?
 
Bibi yako ndo labda hawamtambui sauti soul...
Hata ni wivu na unafiki umewajaa lkn umepitiliza...eti sauti soul hawaja penya bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Stop fingering your holes..

You are asking and answering yourself at the same time.

Both artists you have mentioned are from Tz , Do you think there is any artist from Kenya who can even get a show on a birthday party ?
Punguza jazaba..
Bwahahaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382]
 

Look at this fool.

The same willy Paul who can not afford a show ?

Nandy has carried that fool for a long time , when Nandy Dumps him , utajua hujui
 
Look at this fool.

The same willy Paul who can not afford a show ?

Nandy has carried that fool for a long time , when Nandy Dumps him , utajua hujui
Nandy amembebe nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nandy kaja kenya angalau atoke, na sasa mambo umeyaonaje...
Angalau akajulikana kenya, hv sasa tunavyo jadili hapa kachukua award...

Nandy ilkua hajulikani kenya, willy paul ndio kamtoa kenya, lkn willy paul ilkua ywatambulika tanzania
 

Tanzania ipi ?
 

Kama hadi Dulla Makabila anapiga show Kenya sembuse Nandy [emoji23][emoji23]
 
Wamejitahidi kinoma, iliruka live kule youtube views waliokuwa Wanaangalia live walikuwa wengi sana.
 
Na sio mziki tu hata wachezaji wa mpira bongo mpira unalipa kuliko Kenya yani bongo ni sawa na England kila mchezaji wa Kenya anatamani achezee bongo
Kweli kabisa hii, kila Mchezaji wa Kenya ana tamani kuja kucheza soko la bongo.
 
Hahaaa!!ana uhuru wa kutoa maoni..siku hz hku wasafi wameshindwa na wale vijana wa genge...hawa trend sana km vile hapo nyuma, siku hz ni wimbo mmoja mmoja sana...Na bado kisha.
Unaongeaga vitu out of context kabisa sijui unafikiri Unaongeaga na watoto wadogo, ndio maana nilikuulizaga una umri gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…