Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

Kikubwa uhai mkuu
 
Hapo nimempoza tu ila kiukweli hio hela sinaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

napambana kwa wadau kuipata.

mtaji wangu kwa sasa ni 700,000 na wotw upo kwenye circulation.

kwa sasa nimefikia kuingiza faida ya laki 1 kwa wiki.. (riba)

sera yangu ya kukopesha kwa wiki 1 @ 20% interest imenisaidia kukuza faida kwa haraka
 
Dah hatari
 
Huyu katelekeza Tv yake hadi leo kwa Deni la 50,000.

Wakati anakuja kuchukua mkopo aliniomba achukue bila kuweka kitu bondi, lakini ajabu roho yangu ikamkatalia kabisa.

ndipo akaleta Tv, ameleta rejesho Moja tu (10,000) kisha kakaa kimya.

wenzangu mnaokopesha muwe makini sana

OGOPENI SANA WANAWAKE WANAOKUJA KUWAKOPA NA MANENO MAZURI MAZURI. wengi wao ni matapeli, wagumu kulipa n.k

Hapo ndo shida mi kuna mmoja anataka 30k aweke deki ya singsang imebidi nicheke tu hivi nani anatumia deki kama si kuniuzia kwa 30k
 
Labda uwaroge..πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Umejiandaaje siku ukiletewa vitu vya wizi kama bondi...unaepukaje hili.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanataka kulipa kwa kukupa mbususu
 
Hii biashara ina pesa, Kuna jamaa yangu anaifanya sana, aiseeee jamaa anaongea na simu za mikopo balaa, ila riba ni 30% kama huwezi wewe nenda tu,

ndugu yangu watu wana shida na pesa dunia hii, yaani unakopa 1m unarudisha 1.3m, kwa mezi mmoja tu

wenyewe wanaita pesa za moto.
 
Wanaokopa ni wale wale ina maana hawanufaiki na hizo fedha,nimeona majina yanajirudia yale yale.Kwa kifupi ukianza kukopa fedha za namna hii kuacha ni vigumu na zinakufanya uwe mtumwa wa kukopa na kurudisha.
 
Ndio maana huku uswahilini zinaitwa hela za manyoka..!!!

#YNWA
 
InawakaπŸ˜†
Inawaka vizuri sana mkuuπŸ˜…πŸ˜…
mwenye mali katoka kunipigia sasa hivi anaomba nimpe mdaπŸ˜…πŸ˜…

Mi sina cha.mswalie mtume.. anipe riba 20,000 aendelee na mkopo wake ambao ni 50,000.

hio riba kaenda nayo wiki 2 bila kulipa
 
Wanaokopa ni wale wale ina maana hawanufaiki na hizo fedha,nimeona majina yanajirudia yale yale.Kwa kifupi ukianza kukopa fedha za namna hii kuacha ni vigumu na zinakufanya uwe mtumwa wa kukopa na kurudisha.

Ninachoshukuru Mungu ni kwamba pesa zinarudi kwa wakati.

wengine wanaenda na riba tu hata mara 4 kwa mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…