Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

Inawaka vizuri sana mkuu[emoji28][emoji28]
mwenye mali katoka kunipigia sasa hivi anaomba nimpe mda[emoji28][emoji28]

Mi sina cha.mswalie mtume.. anipe riba 20,000 aendelee na mkopo wake ambao ni 50,000.

hio riba kaenda nayo wiki 2 bila kulipa
Nimeku text PM!
 
Kwenye hii biashara inaonekana wakopaji wazuri ni wamama watu wazima
Mkuu ukitaka ujute kwenye hii biashara kopesha vijana wa rika la kati au watu wenye mambo mengi hasa hawa watumishi kwenye kada ya [emoji1980][emoji1980], wamama uzuri wao ni kwamba ni waoga hata ukimtishia polisi anakulipa kiurahisi lakini sio mwanaume!!

Sent from my SM-N950U1 using JamiiForums mobile app
 
Pia walimu naskia nao ni wadau wakubwa sana kwenye hii industry...
 
Hongera mkuu ila uwe makini, ukiona vipi muandikiane kiaina, mf.nimekuazima 10500 utanirudishia baada ya siku 14. Ila umempa 10000. Ni Bora kuliko kufungua fremu ya biashara kwani utapigwa kodi nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sema kuna mwanasheria aliwahi kunishauri..
 
Usikopeshe bila collateral security yoyote bro mteja akija anaomba mkopo sio lazima awe na kiwanja au gari akuachie hata simu, laptop au kitu kinachoweza kuuzika lkn ukisema unatoa hela AF unalala ndani mtu akuletee riba hutoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…