Swahib Sinjo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 317
- 296
mkuu angalia tena riba yako ni kubwa sana, ina maana ukimkopesha mtu millioni moja kwa siku ni elf 50, na akikaa nayo mwezi ina maana ni million 1.5 na nusu, kwa lugha nyepesi ni kwamba mtu akikopa million moja kwa mwezi mmoja anarudisha million mbili na nusu, yaana faida ni 150%