Swahib Sinjo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 317
- 296
riba ni mbaya hata mwenyezi mungu hapendi,utapata pesa kwasasa ila baadae mambo yatachange zile riba zote uliopokea zitayeyuka kama mshumaaUnakabidhi mtaji wako kwa watu, subiri muda kidogo utajua hujui. Bora ufungue genge ufanye biashara za kawaida. Sikia kukopesha, Mkopaji anaweza akaingia mkatabata wowote unaomnyonya ili mradi tu aipate hiyo ela, akishaipata utasubiri.
Ulitaka alete ngapi mkuu mbona vidole juu?Duh 10000 kila siku analipa jero. Kweli masikini atabaki kuwa maskini daima milele amina
Nimestaajabu tu sikujua kuwa rejesho linakuwa hvyoUlitaka alete ngapi mkuu mbona vidole juu?
Biashara ni maelewano.Nimestaajabu tu sikujua kuwa rejesho linakuwa hvyo
Ni sawaBiashara ni maelewano.
elfu 10 haiwezi kushindwa kuzaa mia 5 kwa siku ambayo ni 5% kwa mtu anaefanya biashara.
mfano mtu kaenda kununua viatu vya elfu 2 kachukua pea 5.
kaenda kuuza kila pea shs 3500.
3500 * 5 = 16,500 vipi hapo hajarejesha riba na faida kapata?
mahesabu yangu ni kwamba kila elfu 10 izae kiasi fulani cha fedha per daymkuu angalia tena riba yako ni kubwa sana, ina maana ukimkopesha mtu millioni moja kwa siku ni elf 50, na akikaa nayo mwezi ina maana ni million 1.5 na nusu, kwa lugha nyepesi ni kwamba mtu akikopa million moja kwa mwezi mmoja anarudisha million mbili na nusu, yaana faida ni 150%
HakyaMungu mi ntatumia ukurya wangu kumkarabati mtu/watu wa hivyoWateja wanaokopa kwa watu binafsi huwa waaminifu ili ufikie target au uingie kwenye anga zake ndio utaona balaa lake.
kuna kipindi watumishi walikopaga sana kwa jamaa flani, wakawa wanakubaliana huko mtaani bila taarifa kufika ofisini wakawa wanaacha ATM na PSSWD kwa mkopeshaji. Kumbe wamejiunga SIMBANKING yaani mshahara ukiingia tu jamaa wanauvuta kwenye simu wote mangi anabaki anashangaa kwenda ofisini wakamdai makaratasi yaliyoidhinishwa na Mwajiri HANA.
Kiungwana watumishi waliitwa wakaambiwa wawe wanalipa vinginevyo................... Ndio pona ya mangi
Urafiki unaua biasharaHii biashara ngumu sana kuna jamaa yangu kamkopesha mtu 2M jamaa kaweka rehani Brevis na Kadi yake hadi sasa ni miezi8 gari ipo uani kwani na jamaa alilipa 1.2M zilizobaki anasema hana na ipo siku atalipa. Unamfanyaje mtu kama huyu utauza gari kwa laki8 na mnafanya kazi field moja?
Acha kabisa jamaa kayumba hana mpango na gari anakuachia saivi tairi zote zishalala, bima imeisha huwezi kulitebeleaUrafiki unaua biashara
Sasa mfanyakazi kashindwaje kumalizia hio laki 8 jamaniAcha kabisa jamaa kayumba hana mpango na gari anakuachia saivi tairi zote zishalala, bima imeisha huwezi kulitebelea
Ukute ana madeni bank take home 400k anasomesha na kodi ya nyumba inamsubiri, watu wanakuaga vichaa na wanaajiraSasa mfanyakazi kashindwaje kumalizia hio laki 8 jamani
Hata kuwaza kuiuza kashindwa?Ukute ana madeni bank take home 400k anasomesha na kodi ya nyumba inamsubiri, watu wanakuaga vichaa na wanaajira
Yapi auze gari kwa ajili ya 800k? Anyways magari yameshuka sana bei ila ni mchizi wake, angekuwa mtu baki hapo sawaHata kuwaza kuiuza kashindwa?
huyo rafikiake nae mbona mzito kufanya maamuzi magumu?
Hii ndio naisikia leo toka nizaliwe πDuh 10000 kila siku analipa jero. Kweli masikini atabaki kuwa maskini daima milele amina
Watumishi wahuni! Mangi aliisoma namba π π π alitaka kuleta janja janjaWateja wanaokopa kwa watu binafsi huwa waaminifu ili ufikie target au uingie kwenye anga zake ndio utaona balaa lake.
kuna kipindi watumishi walikopaga sana kwa jamaa flani, wakawa wanakubaliana huko mtaani bila taarifa kufika ofisini wakawa wanaacha ATM na PSSWD kwa mkopeshaji. Kumbe wamejiunga SIMBANKING yaani mshahara ukiingia tu jamaa wanauvuta kwenye simu wote mangi anabaki anashangaa kwenda ofisini wakamdai makaratasi yaliyoidhinishwa na Mwajiri HANA.
Kiungwana watumishi waliitwa wakaambiwa wawe wanalipa vinginevyo................... Ndio pona ya mangi
Sijamaanisha aiuze at 800k, hapana angeiuza kwa bei affordable ili gari isiendelee kuharibikaYapi auze gari kwa ajili ya 800k? Anyways magari yameshuka sana bei ila ni mchizi wake, angekuwa mtu baki hapo sawa