Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
kuna mke wa jirani yangu anaitwa mama D
Huyu mama D nimemkuta anaishi na mtoto ambaye Ana umri 18+ huyu mtoto Ana undugu na mume wake .
Sasa nimemtfutia Kazi huyu binti
Kazi yenyewe atalipwa 300K Kwa mwezi
Sasa mama D amekasirika hatari anadai huyo mtoto hafai na hiyo Kazi nimtafutie yeye.
Sasa Mimi nimecheza na akili yake nimemwambia IPO Kazi nzuri nitamuunganisha na atalipwa 600K na hiyo ya 300K amuachie dogo.
Sasa Kama mnavyojua wanawake walivyo na machale amegundua namdanganya
So jana yule binti ndugu wa Mme wake kaenda kuripoti kazini alichokifanya kapiga simu kwa boss Kuwa yule binti ni jeuri na hafai .
So boss aliponicheki na kunipa hizi habari nimechukia Sana .
Yaana mama wa 35 anambania binti wa 18 duuu!!!
Kuweni makini na wanawake Sana hasa hawa broke women.