an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 1,026
- 2,211
roho mbaya kwa mwanamke ni utamaduni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu atusaidie tumelaumiwa hadi basi 😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatuna jema
Pole sana mkuu. Siku mambo yako yakikaa sawa kisha huyo shangazi akajaa katika 18 zako mpige risasi ya kichwa kisha lala mbele..Mwanamke ni adui wa jinsi zote. Miaka Ile nilimaliza chuo Sina ramani, binamu yangu akanitafutia kibarua kizuri, nikaripoti nikaanza vizuri.
Baada wiki Moja Shangazi(mama yake binamu yangu) akapata taarifa kuwa nimetafutiwa kibarua na binamu.
Sasa Kumbe Shangazi alikuwa anasali Kanisa Moja na boss wa ile kampuni. Alimtafuta na kuniharibia eti mimi ni mwizi wa muda mrefu na nilishamuibia mara nyingi pale nyumbani kwake.
Boss alimuanini Shangazi maana Shangazi alikuwa kiongozi mkubwa pale kanisani kwao hivyo nikafikuzwa kazi.
Duu wanawake aiseeeeMwanamke ni adui wa jinsi zote. Miaka Ile nilimaliza chuo Sina ramani, binamu yangu akanitafutia kibarua kizuri, nikaripoti nikaanza vizuri.
Baada wiki Moja Shangazi(mama yake binamu yangu) akapata taarifa kuwa nimetafutiwa kibarua na binamu.
Sasa Kumbe Shangazi alikuwa anasali Kanisa Moja na boss wa ile kampuni. Alimtafuta na kuniharibia eti mimi ni mwizi wa muda mrefu na nilishamuibia mara nyingi pale nyumbani kwake.
Boss alimuanini Shangazi maana Shangazi alikuwa kiongozi mkubwa pale kanisani kwao hivyo nikafikuzwa kazi.
Duuh na ndugu wanawake ni wabaya zaidiMwanamke ni adui wa jinsi zote. Miaka Ile nilimaliza chuo Sina ramani, binamu yangu akanitafutia kibarua kizuri, nikaripoti nikaanza vizuri.
Baada wiki Moja Shangazi(mama yake binamu yangu) akapata taarifa kuwa nimetafutiwa kibarua na binamu.
Sasa Kumbe Shangazi alikuwa anasali Kanisa Moja na boss wa ile kampuni. Alimtafuta na kuniharibia eti mimi ni mwizi wa muda mrefu na nilishamuibia mara nyingi pale nyumbani kwake.
Boss alimuanini Shangazi maana Shangazi alikuwa kiongozi mkubwa pale kanisani kwao hivyo nikafikuzwa kazi.
Usiseme wanawake sema mwanamke huyu, kama wapo wanawake wenye roho nzuri na wapo wanaume wenye roho mbaya ndugu wa mke hawezi kuishi nyumbani kwake hata siku mojakuna mke wa jirani yangu anaitwa mama D
Huyu mama D nimemkuta anaishi na mtoto ambaye Ana umri 18+ huyu mtoto Ana undugu na mume wake .
Sasa nimemtfutia Kazi huyu binti
Kazi yenyewe atalipwa 300K Kwa mwezi
Sasa mama D amekasirika hatari anadai huyo mtoto hafai na hiyo Kazi nimtafutie yeye.
Sasa Mimi nimecheza na akili yake nimemwambia IPO Kazi nzuri nitamuunganisha na atalipwa 600K na hiyo ya 300K amuachie dogo.
Sasa Kama mnavyojua wanawake walivyo na machale amegundua namdanganya
So jana yule binti ndugu wa Mme wake kaenda kuripoti kazini alichokifanya kapiga simu kwa boss Kuwa yule binti ni jeuri na hafai .
So boss aliponicheki na kunipa hizi habari nimechukia Sana .
Yaana mama wa 35 anambania binti wa 18 duuu!!!
Kuweni makini na wanawake Sana hasa hawa broke women.
Usihukumu wanawake wote akiwamo mama yako aliyekuzaa na kukulea mwanangu. Binadamu hatufanani na wala huna ushahidi wa kuhukumu wanawake wote. Je na huyo binti unayemhangaikia naye ni mwanamke?kuna mke wa jirani yangu anaitwa mama D
Huyu mama D nimemkuta anaishi na mtoto ambaye Ana umri 18+ huyu mtoto Ana undugu na mume wake .
Sasa nimemtfutia Kazi huyu binti
Kazi yenyewe atalipwa 300K Kwa mwezi
Sasa mama D amekasirika hatari anadai huyo mtoto hafai na hiyo Kazi nimtafutie yeye.
Sasa Mimi nimecheza na akili yake nimemwambia IPO Kazi nzuri nitamuunganisha na atalipwa 600K na hiyo ya 300K amuachie dogo.
Sasa Kama mnavyojua wanawake walivyo na machale amegundua namdanganya
So jana yule binti ndugu wa Mme wake kaenda kuripoti kazini alichokifanya kapiga simu kwa boss Kuwa yule binti ni jeuri na hafai .
So boss aliponicheki na kunipa hizi habari nimechukia Sana .
Yaana mama wa 35 anambania binti wa 18 duuu!!!
Kuweni makini na wanawake Sana hasa hawa broke women.
Haya mambo hauwezi kuyaelewaUsihukumu wanawake wote akiwamo mama yako aliyekuzaa na kukulea mwanangu. Binadamu hatufanani na wala huna ushahidi wa kuhukumu wanawake wote. Je na huyo binti unayemhangaikia naye ni mwanamke?
Mtombekuna mke wa jirani yangu anaitwa mama D
Huyu mama D nimemkuta anaishi na mtoto ambaye Ana umri 18+ huyu mtoto Ana undugu na mume wake .
Sasa nimemtfutia Kazi huyu binti
Kazi yenyewe atalipwa 300K Kwa mwezi
Sasa mama D amekasirika hatari anadai huyo mtoto hafai na hiyo Kazi nimtafutie yeye.
Sasa Mimi nimecheza na akili yake nimemwambia IPO Kazi nzuri nitamuunganisha na atalipwa 600K na hiyo ya 300K amuachie dogo.
Sasa Kama mnavyojua wanawake walivyo na machale amegundua namdanganya
So jana yule binti ndugu wa Mme wake kaenda kuripoti kazini alichokifanya kapiga simu kwa boss Kuwa yule binti ni jeuri na hafai .
So boss aliponicheki na kunipa hizi habari nimechukia Sana .
Yaana mama wa 35 anambania binti wa 18 duuu!!!
Kuweni makini na wanawake Sana hasa hawa broke women.
Hata wewe hujui hicho unachosema wala huwajui hao wanawake. Unaposema most of them are depressed, are you not? What of men? Why are they? Why is gendered depression? What are solutions? Where is the real problem? How can we address and arrests it? How big is it? How endemic is it? Who is to blame? Can you be specifically? Do you have any academic evidence to back your assertion? What is its historicity?Haya mambo hauwezi kuyaelewa
Wanawake wana kitu inaitwa Crab mentality (Kaa kwenye ndoo)
They don't want to see mtu mwingine anafanikiwa zaidi yao most of them are depressed, dumber and idiots
Endelea kufanya argumentHata wewe hujui hicho unachosema wala huwajui hao wanawake. Unaposema most of them are depressed, are you not? What of men? Why are they? Why is gendered depression? What are solutions? Where is the real problem? How can we address and arrests it? How big is it? How endemic is it? Who is to blame? Can you be specifically? Do you have any academic evidence to back your assertion? What is its historicity?
Pita naekuna mke wa jirani yangu anaitwa mama D
Huyu mama D nimemkuta anaishi na mtoto ambaye Ana umri 18+ huyu mtoto Ana undugu na mume wake .
Sasa nimemtfutia Kazi huyu binti
Kazi yenyewe atalipwa 300K Kwa mwezi
Sasa mama D amekasirika hatari anadai huyo mtoto hafai na hiyo Kazi nimtafutie yeye.
Sasa Mimi nimecheza na akili yake nimemwambia IPO Kazi nzuri nitamuunganisha na atalipwa 600K na hiyo ya 300K amuachie dogo.
Sasa Kama mnavyojua wanawake walivyo na machale amegundua namdanganya
So jana yule binti ndugu wa Mme wake kaenda kuripoti kazini alichokifanya kapiga simu kwa boss Kuwa yule binti ni jeuri na hafai .
So boss aliponicheki na kunipa hizi habari nimechukia Sana .
Yaana mama wa 35 anambania binti wa 18 duuu!!!
Kuweni makini na wanawake Sana hasa hawa broke women.
Jibu maswali au useme huwezi badala yackurudia utopolo uleule. Kwani wanaume hawana tabia hizo?Haya mambo hauwezi kuyaelewa
Wanawake wana kitu inaitwa Crab mentality (Kaa kwenye ndoo)
They don't want to see mtu mwingine anafanikiwa zaidi yao most of them are depressed, dumber and idiots
Wizi umekukost acha tabia mbayaMwanamke ni adui wa jinsi zote. Miaka Ile nilimaliza chuo Sina ramani, binamu yangu akanitafutia kibarua kizuri, nikaripoti nikaanza vizuri.