Nimeanza kufanya content YouTube. Kipi bora nipromote video mimi mwenyewe ama nimlipe mtu apromote

Nimeanza kufanya content YouTube. Kipi bora nipromote video mimi mwenyewe ama nimlipe mtu apromote

Inatakiwa contents zijipromote kabla ya kuwa promoted.
Hakikisha umebobea katika eneo hilo, kisha leta majawabu ya changamoto wanazopitia watu.

Kama ni mambo ya umbea na udaku, subiri wabobezi kwenye hilo eneo waje.
 
Mimi nafanya content za music theory, naona kama sipati views za kutosha inanikatisha tamaa
 
Back
Top Bottom