Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
- Thread starter
-
- #41
Nashukuru mkuu!Tafuta kijana unae muamini mpe mtaji wa biashara ya kuzunguka nayo. Maji,karanga,juice,soda ice cream. Halafu weka nae makubaliano ya 50% ya mauzo baada ya kurejesha hela ya mtaji.
Mfano:- mtaji 50,000 mauzo mwisho wa siku 70,000 unatoa hela ya mtaji 50,000 halafu inabakia 20,000 hii mnagawa 50%. Ndani ya wiki mbili unaongeza kijana mwengine na mwengine. Miezi 3 una vijana 10 kila kijana akikupa 50%(10,000) kwa siku una 100,000. Kabla hujafanya hili fanya utafiti wako mwenyewe zaidi.
Lakini Muda kwangu ni changamoto mkuuSaw endelea na vipengele vngne nimeshaur kama utakufaa
Kodi 25K sawa na around 700 Tzs/Day na kula 1000/Day usiku lunch ni 500 Tzs ambayo nimeweka Bill mwezi mzimaUlikuwa unakula sh ngapi?
Kodi sh ngapi?.
Then 300K ndio itakuwa kipato chako mpaka unazeeka utataabika kihasi gani.siwezi kujinyima kisa nisave for tomorrow!, ntafanya matumizi yangu yote kwanza, kama kutakua na surplus ndio nitasave, kama hakuna surplus, saving cant be my priority.
Mwambie mkuu maisha ni taratibu.Rudishia mwili pole nunua nguo tafuta piss relax😃😃
Acha kuzingua..Msiichukulie poa Mia 3 Niko njiani kuongeza mke wa pili
Hapo kwenye 300k , mtu mwenye u serious hata 200k kwa kila mwez ana save30K saving kilamwezi sio saving ni kupoteza muda yaani ni sawa na 300K kwa mwaka mzima nonsense
Mshahara wa 200K Mimi niliweza save hio 300K kwa miezi miwili tu
Ndio bossLAKI TATU.. Una familia mkuu?
Mkuu ww ndo huwez ili wenye usongo wa maisha wanawezaHivi nyie mnawezajewezaje, yani mshahara wa 300K unataka uanzishe biashara hapohapo kwenye 300k kwa mwezi?, nauli, chakula, mavazi, other expenses cjui bili ya maji, umeme, bdo mbususu haijaenda saloon. Hapo hujaenda kupanda juu meza kitambaa cheupe. Kha!
Yes Hio 100K nimeweka kwasababu ya nitasaidiasaidia familia zetu za kimaskini sisi tushakuwa baba ila Mimi alone nakusevia 200K hapo kwa mweziHapo kwenye 300k , mtu mwenye u serious hata 200k kwa kila mwez ana save
Hapo unaachana na matumizi yote yasiyo ya lazima, mademu nao unawaweka pembeni
Miaka inategemea wewe una wazo gani la biashara. Ila atleast 3 years.Baada ya muda gani?
Kama umepanga. Anza na kuuza karanga za kukaanga.Sipo home mkuu nimepanga getto
Alikuwa anafunga! Otherwise labda kama alikuwa na kishughuli kingine.Ulikuwa unakula sh ngapi?
Kodi sh ngapi?.
nitakua chizi kulipwa 300k mpaka nazeekaThen 300K ndio itakuwa kipato chako mpaka unazeeka utataabika kihasi gani.