Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
- Thread starter
- #41
Nashukuru mkuu!Tafuta kijana unae muamini mpe mtaji wa biashara ya kuzunguka nayo. Maji,karanga,juice,soda ice cream. Halafu weka nae makubaliano ya 50% ya mauzo baada ya kurejesha hela ya mtaji.
Mfano:- mtaji 50,000 mauzo mwisho wa siku 70,000 unatoa hela ya mtaji 50,000 halafu inabakia 20,000 hii mnagawa 50%. Ndani ya wiki mbili unaongeza kijana mwengine na mwengine. Miezi 3 una vijana 10 kila kijana akikupa 50%(10,000) kwa siku una 100,000. Kabla hujafanya hili fanya utafiti wako mwenyewe zaidi.