Nimeanza kumpenda msichana mwingine

Nimeanza kumpenda msichana mwingine

Safari hii nialike kwenye sherehe ya ubatizo wako wa jina jipya [emoji23]
 
Anabeba kibegi kiduunchu mgongoni?
Simu yake ina cover ya kamdoli?
Sandals zake zina vimanyoya?

Kama majibu ni ndio kwa asilimia 75% basi ukishapiga wewe sepa chaap. Baadae utasimuliwa
 
Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele, kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu sasa sijui itakuwaje.

Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpaka hivi sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda kama jana na zaidi ya leo.[emoji26]

Sifa zake ni:
  • Kapole ila kazururaji
  • Hakanywi bia ila kanaonja
  • Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.

Tuombeane tu tuvuke salama.[emoji26]
Kapole ila kazururaji
  • Hakanywi bia ila kanaonja
  • Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.[emoji23]

Mwaka huu kazi unayo
 
Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele, kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu sasa sijui itakuwaje.

Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpaka hivi sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda kama jana na zaidi ya leo.[emoji26]

Sifa zake ni:
  • Kapole ila kazururaji
  • Hakanywi bia ila kanaonja
  • Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.

Tuombeane tu tuvuke salama.[emoji26]
Bwashee acha kutumia moyo ktk mapenzi utakufa kabla ya wakati wako, utakufa hakikaaaa [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom