ulcers ninazo na stress nlokua nayo ni hii tabia sikua hivi zamani :angry:
Mungu wangu!!:confused3::confused3:Una Pepo linaitwa Yezebel.
mhhh......
wewe ni m-black ama m-white?ameshanizoea
Wanamme matatizo yao makuu matatu ni tofauti ya wanawake.
Tatizo lako ni moja tuu.
Umezoea kujichua mwenyewe, ndio maana unapenda kuwa mtupu chumbani, na it seems unapenda sana kuangalia picha za utupu.
Ukijichuwa sana, lazima upate tatizo la kusahau sahau kwa mujibu wa maelezo ya wanasayansi.
Tafuta bwana ukae nae, umri huo sio wa kukaa peke yako.
Ndio maana huwa nawashangaa sana wadada wasemao kuwa hawapendi kuolewa, eti wanatafuta mtoto afu waishi peke yao
Binadamu sio kisiki cha mti, naye anasikia ile hamu. Sasa ukikaa peke yako atakuridhisha nani kama sio hiyo kujichuwa inayokuharibu? ni nani atakaye kuondolea stress zako?
tafuta bwana wewe, hiyo ndio tiba, nyingine utazunguka tuu ila ukweli ndio huo
Hata mi nahisi itakuwa ni psychological problem.... Yakubidi uende hospital haraka,sio dalili nzuri. Leo unafanya peke yako ndani,kesho utaenda hadi barabarani. Pole sana..
ndio:cool2:Unapiga punyeto?
napenda kukaa pekeangu spendi watu kabisa naona wananiumiza kichwa wote nawaona keroUna phychological problem, kwanza unaonekana unajifungia sana ndani ukirudi kutoka ofisini, pili hauna watu wa nje ya ofini wa kubadilishana mawazo tofauti na yakiofisi, so jitahidi kujichanganya hata kama hunywi pombe
hili la kushinda bila nguo mimi mwenyewe ni mwanaume ila nikishaingia kwangu nashinda na boxer ni mazoe
ahahaaaahaa hapana mapi natumia computer ya ofisini kwahiyo nimevaa nguo sasahivindio maana kumbe kila nikiingia kwenye mitandao kichwa wazi anarukaruka kumbe kunawatu mnachat uchi
wewe ni m-black ama m-white?
hebu ni pm picha nikwambie kitu..
please send them without.. lol
mimi mweusi
Una shida kubwa sana wewe! Naomba nijitolee kukusaidia:
- anza kulala kichwa chini miguu juu kwa siku 3, mida ya mchana, ktk pembe mojawapo ya sebuleni!
- unapotembea hakikisha hakuna mguu unaokuwa mbele zaidi ya mwingine!
- usitumie tena m.a.k.a.l.i.o kwa kukaa!
- hakikisha unapiga uruzi waakati unameza maji!
- pendelea kuingiza vocha bila kukwangua!
Kwa msaada zaidi, tukutane daraja la salenda saa 9 usiku pale Buguruni shell!