Nimeanza kuwa na tabia za ajabu

Nimeanza kuwa na tabia za ajabu

Una phychological problem, kwanza unaonekana unajifungia sana ndani ukirudi kutoka ofisini, pili hauna watu wa nje ya ofini wa kubadilishana mawazo tofauti na yakiofisi, so jitahidi kujichanganya hata kama hunywi pombe

hili la kushinda bila nguo mimi mwenyewe ni mwanaume ila nikishaingia kwangu nashinda na boxer ni mazoe
 
Tatizo lako ni moja tuu.

Umezoea kujichua mwenyewe, ndio maana unapenda kuwa mtupu chumbani, na it seems unapenda sana kuangalia picha za utupu.

Ukijichuwa sana, lazima upate tatizo la kusahau sahau kwa mujibu wa maelezo ya wanasayansi.

Tafuta bwana ukae nae, umri huo sio wa kukaa peke yako.
Ndio maana huwa nawashangaa sana wadada wasemao kuwa hawapendi kuolewa, eti wanatafuta mtoto afu waishi peke yao

Binadamu sio kisiki cha mti, naye anasikia ile hamu. Sasa ukikaa peke yako atakuridhisha nani kama sio hiyo kujichuwa inayokuharibu? ni nani atakaye kuondolea stress zako?

tafuta bwana wewe, hiyo ndio tiba, nyingine utazunguka tuu ila ukweli ndio huo

kumbee...ni kweli nafanya hivo ulivosema ntazifuta video na picha zote.
nashkuru sana kwa ushauri wako yaani nashukuru sana mkuu
 
Hata mi nahisi itakuwa ni psychological problem.... Yakubidi uende hospital haraka,sio dalili nzuri. Leo unafanya peke yako ndani,kesho utaenda hadi barabarani. Pole sana..

Hospitali ipi hiyo inatibu hayo? ??
 
Una phychological problem, kwanza unaonekana unajifungia sana ndani ukirudi kutoka ofisini, pili hauna watu wa nje ya ofini wa kubadilishana mawazo tofauti na yakiofisi, so jitahidi kujichanganya hata kama hunywi pombe

hili la kushinda bila nguo mimi mwenyewe ni mwanaume ila nikishaingia kwangu nashinda na boxer ni mazoe
napenda kukaa pekeangu spendi watu kabisa naona wananiumiza kichwa wote nawaona kero
 
Dokta na mgonjwa mwenye tatizo la kusahau sahau...
Dokta: Nikusaidie nini?
Mgonjwa: Dokta nna tatizo la kusaha sahau, yaani nikiambiwa kitu tu nasahau.
Dokta: sawa! hilo tatizo limekuanza lini?
Mgonjwa: TATIZO GANI?
 
Una shida kubwa sana wewe! Naomba nijitolee kukusaidia:

  1. anza kulala kichwa chini miguu juu kwa siku 3, mida ya mchana, ktk pembe mojawapo ya sebuleni!
  2. unapotembea hakikisha hakuna mguu unaokuwa mbele zaidi ya mwingine!
  3. usitumie tena m.a.k.a.l.i.o kwa kukaa!
  4. hakikisha unapiga uruzi waakati unameza maji!
  5. pendelea kuingiza vocha bila kukwangua!

Kwa msaada zaidi, tukutane daraja la salenda saa 9 usiku pale Buguruni shell!
 
Hiii kaliiiii
 
Back
Top Bottom