Nimeanza kuwa na tabia za ajabu

Tafuta mtu awe anatupia magoli japo mara mbili kwa mwezi mwili utakaa sawa
 

ahahahaaahaaa asante ntafuata ushauri wako:A S wink:
 
Unahasiraaaaa, hiyo ni physiological problem, Huoni kama wewe ndio unamatatizo? Haiwezekani kila mtu akawa mbaya. Je ofisini unamahusiano mazuri na wezio?
nliwakuta wakinisema skumoja nkawaskia wanasema nina attitude and they hate me:angry:
 
Labda nikwambie tu kwa ujumla most of the girls hasa wa sasa walivyo

1. Kwanza wengi wanaona kuwa na mwanaume ni kama kifungo, hawai free au ni kama ufungwa kwa sababu maamuzi yoyote yatahitaji kushirikishana

2. Wanawake wengi nowdays wanaona wakishasoma na kupata kazi nzuri hiyo ni tosha kabisa, atakachojitahidi ni kutafuta mtu ambae anaona nampenda au mwenye kipato kikubwa( Mostly waume za watu) akazaa nae mtoto mmoja kamaliza.

3. Ni vema kuwa na vipaumbele kwa mwanaume unaemtaka, either Tabia,Uelewa na Elim nayo ni muhimu, lakini wanawake wa sasa kwa kuwa X-boy wake alikuwa Mrefu, Mweupe, anamiliki hammer, ana kazi nzuri basi yeye anahangaika mjini kumtafuta mtu kama yule, mwishowe anatumika na muda unaenda. Hii imewapoteza wengi wamekuja kukumbuka shuka kumekucha.
 
wherere do i get this treatment????:hail:
 
http://-----------------/?ref=400321

kama unatafuta kazi check hiyo link
 
Amua tu!

Kila kitu kinawezekana, inategemea tu wewe utataka watu wakuhukumu namna gani..

Muone mwanamke mwenzio hapa, yeye kaamua. Wewe je?

i didnt mean this way... i like it when i am alone, in public i dress like all the other women
 
sina kwa sasa wananiacha shauri ya ukali

mie na weza kukusaidia tuwe tunaonana kila siku hata kama una hasira kwa kipindi cha siku 10 tu utapata mabadiliko makubwa.
ukipuuza uchizi hauko mbali.
yaani utakuwa staff mental.
kuhusu nguo na kumbukumbu ,kuna siku jioni ulitoka nje bila nguo
watu wanaogopa kukufahamisha
maana ushasahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…