CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Niameanza zalisha Cricket Insects kwa matumizi yangu ya kula tu, kwa kuanzia, Cricket ni moja ya Edble Insects na Asia wanaliwa sana ikiwa na pamoja na ku export Ulaya.
Cricket kwa radha ni sawa na Senene, au kumbikumbi walivyo na wote ni jamii moja.
Sasa nilipata mbegu Kenya nimeanza zalisha kwa matumizi yangu ambapo nakuwa nawakausha nasaga na ule unga wake nachanganya kwenye unga wa ngano kwa ajili ya kutengeneza mandazi au Chapati.
Ila kwa baadae sana unga wake nitawasaidia jamii ya watu wenye Watoto wenye utapia mloa hasa wawe wanachanganya kwenye unga wa uji na kuwapikia watoto.
Cricket wana Protein kari sana na pia wana Amino acid zote ndio pekee unaweza pata amino acid zote.
Unaweza zalisha kwa ajili ya kulishia mifugo ila kwangu naona ni hasara sana kuwalishia mifugo.