Nimeanza kuzalisha Cricket Insects kwa matumizi yangu tu

Hizi project za ubunifu wabongo hawawezi sumbua kichwa, waambie ishu za ngono au kuajiriwa. Mtu yupo radhi kuuza mda wake kiwandani kwa muhindi kwa masaa 12 kwa siku, kwa malipo ya sh elf 5.
Na sio kutoka nje ya mji akatafuta nusu eka akafuga kuku wa kienyeji. Akidream kuwa mfugaji Mkubwa mbeleni.
Kaa porini
1.Tengeneza mkaa wa nyasi
2.Fuga cricket, soldier fly, mende, nyuki kama chakula cha kuku.
3.Fuga kuku, ndege, nk
Smartphone ni darasa tosha na sio ya kutazamia ngono.
Uhitaji kwenda shule wala chuo ukiwa na dream . Google is everything. Google ni Mwalimu Tosha.
 
tupe hatua kwa hatua wanavyofugwa, banda liko vipi, wanazaliana vipi, chakula chao na magonjwa,
 
Hivi ile biashara ya sungura iliishia wapi? Motivational speakers wanasumbua sana
Sungura ni kitoweoa kwa sisi tulio kaaa vijijini tumewinda sana sungura, sungura wana nyama nzuri hata kuzidi kuku, shida ni Exposurw inawasumbua plua ujinga wa kuzania ni ujanja
 
Shiyenze🙂. Vipi huwezi kuwatafuna tuu kama senene??
 
Sungura ni kitoweoa kwa sisi tulio kaaa vijijini tumewinda sana sungura, sungura wana nyama nzuri hata kuzidi kuku, shida ni Exposurw inawasumbua plua ujinga wa kuzania ni ujanja
Sungura pori ndo watam. Hawa wa kizungu hakuna kila kitu.
 
Hizi project za ubunifu wabongo hawawezi sumbua kichwa, waambie ishu za ngono au kuajiriwa. Mtu yupo radhi kuuza mda wake kiwandani kwa muhindi kwa masaa 12 kwa siku, kwa malipo ya sh elf 5.
Na sio kutoka nje ya mji akatafuta nusu eka akafuga kuku wa kienyeji. Akidream kuwa mfugaji Mkubwa mbeleni.
Kaa porini
1.Tengeneza mkaa wa nyasi
2.Fuga cricket, soldier fly, mende, nyuki kama chakula cha kuku.
3.Fuga kuku, ndege, nk
Smartphone ni darasa tosha na sio ya kutazamia ngono.
Uhitaji kwenda shule wala chuo ukiwa na dream . Google is everything. Google ni Mwalimu Tosha.
Umeandika fact mkuu
 
Natafuta Sungura kwa wingi. Mwenye nao tuwasiliane. Njoo PM
 
Back
Top Bottom