Nimeanza kuzalisha Cricket Insects kwa matumizi yangu tu

Hakuna mdudu asiyeliwa duniani.
Ni mazoea tu na tamaduni
 
Kwa kenya huko vipi mkoje labda
 
Hii ni feature business nzuri sana tena sana take it from me
 
Thailand wana Export sana crickets insects kwenda Ulaya na mbaya zaidi hawana competitor, mkuu hii ni feature business nzuri sana
 
Hivi ile biashara ya sungura iliishia wapi? Motivational speakers wanasumbua sana
 
Zinaua mkuu? Siwafugii ndani ninako lala, ni nje na sio muda wote wanapiga kelele na kuna sabanu zake za kupiga kelele ukiwasikia usiku wanapiga kelee wana sababu so utashangaa banadani wako kimya
Ooh sasa hapo umenifungua, kwa kuwa naangalia sana documentary
Basi utakuta wanapopiga kelele nje wanaitana dume na jike

Sasa kama umewaweka pamoja hawana haja ya kuitana maana wanaonana hapo hapo
Sauti haziuwi mkuu
 
Hebu angalia fursa kama hizo
Pole sana
Inabidi uwe unafuatilia kwenye blog zao na balozi zao kila wakati na kusoma journal zao
Fursa zipo nyingi sana ila wabongo huwa wanataka njia za mkato apate kazi aibe basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…