Joseph Isaack
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 450
- 89
I'm not a firecrunch. She wants it. I have given him what she deserves to get. Way foward please.
Kichwanisifuri pole sana ,naona wadau wengi wamekuandama sana,binafsi sioni ajabu sana katika hili vinginevyo wahenga wasingesema 'MKWE MKWEE'.
Na-regret nilichokifanya na sitaki kurudia tena. Je nimpige marufuku huyo mama mkwe kukanyaga kwangu? Yeye ndio chanzo na anataka tuendelee!Imeandikwa katika MAMBO YA WALAWI 18:17... Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; ....... kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu ni uovu mkuu.
20:14... Tena mtu mume akimuoa mke pamoja na mama yake ni uovu mkuu; watachomwa moto, yeye mume na hao wanawake pia ili kwamba usiwe uovu kati yenu.
KUMBUKUMBU LA TORATI 27:23......
Na alaaniwe alalaye na mkwewe, mamaye mkewe. Na watu wote waseme, Amina.
Mkuu umejitafutia laana mwenyewe... nenda katubu ili uondoe hiyo laana kwani itakutafuna mpaka utajuta, ndiyo mwanzo ya mifarakano kazini, kwenye biashara, hata katika ndoa yako. Usipotubu shaurilo!!!!!!!!
N.B. Nina imani hata kama wewe sio Mkristo lakini hata katika Quran kuna aya kama hizi zinakataza huu uchafu......
mkoa mmoja kaskazini mwa tanzania mbona hili jambo la kawaida tu?
Kaka nakusaidiaje wakati wewe mwenywe hujutii hiyo dhambi uliyoifanya,sote tunafanya dhambi lakini mwishowe hujutia na kutubu,wewe unaifurahia sana,wewe ni MWEHU.Kuniita mwendawazimu ndio umenisaidia nini sasa?
I'm not a firecrunch. She wants it. I have given him what she deserves to get. Way foward please.
I'm not a firecrunch. She wants it. I have given him what she deserves to get. Way foward please.
Walawi 18:17 HNV
Ukilala na mwanamke, basi, kamwe usilale naye na binti yake, wala wajukuu zake. Hao ni ndugu. Kuwachanganya ni kufanya uovu.
Siku hizi mabibo hostel mnakaa na wake zenu? Kuna nyumba za wanafunzi mliio oa? maana kuna thread kuhusu BOOM kutoka kwa wanafunzi wa UDSM nimekuona KICHWANI ZERO ukijisifu kuwa juzi umekesha bar fulani na ukapoteza network na kuna baadhi umewajibu kuwa hawakuwezi kwa masom na mademu na kuwa GPA yako iko juu sana,,, mara hii umeoa na umekula mama mkwe? :confused2: