Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Ohoo my dog!sorry yani wewe KICHWANI ZERO umeamua kumpa MziziMkavu hivi hivi huyo mamamkwe wako sasa akisema anamimba huyo kiumbe utamuita shemeji au........downloading please wait...........
 
Last edited by a moderator:
mnapoteza nguvu bure tu kuchangia na kumwaga comments mtoa thread ameamua tu aje na kitu cha kufikirika achezee akili za watu, atuchore na ushauri na comments za watu.
 
Mheshimiwa Kichwani Zero.
Nakupongeza kwa ushujaa wa kujitokeza kueleza masahibu yaliyokufika. Hii ni dalili tosha kwamba unajisikia guilty. Nafahamu watu wengine humu watakuita kila jina baya na watakuona kama umefanya kitu cha ajabu sana. Hii ni Jf, tegemea maoni tofauti tofauti. Suala la kuanguka ktk ngono lipo, na si halali, bila kujali umeanguka na mama mkwe, malaya wa mtaani nk. Jambo la maana ni kuona nn hatari inayokusogelea kwa kufanya hilo ulilofanya na huyo uliyefanya naye? Ni jinsi gani utajizuia usirudie tena? Ni kwa jinsi gani mama mkwe ataendelea kukupa heshima unayostahili au www kumpa heshima anayostahili. Yepi yatakuwa mahusiano kati ya mama mkwe na mkweo, ikiwa mmoja wao atakosa subira?? Ndugu na jamaa watawaonaje? Kwa hivyo, unaona shida na risk ni kubwa zaidi hapa, na pengine ndiyo maana wadau wanatoa hoja za kukunanga.

Labda,njia moja ni ww kuongea na mama mkwe kuwa hutopenda kuendelea na jambo hili. Shida ya approach hii ni kwamba kama mama mkwe naye 'Kichwani zero' anweza aka-retaliate, namna gani , sijui!. Jambo la pili ni ww kuendelea kumkwepa, yaan kuhakikisha haitokei wasaa wa kukaa pamoja ktk faragha. Hii inawezekana.
 
yeeewi.
kama unampenda mkeo mwache kwa njia yeyote ile
kabla hili bomu halija lipuka.

halafu acha kuwa baba huruma .
usigawe hivyo kwa kila anaye taka
aise wasicha wamejee hivyo kona bar we unamla mamamkwe.

anyway imeshatokea.
ni bora mke akukose wewe kuliko wote wawili
kwa hiyo tambaa kambla mambo hayaja chachuka.
 
nimefatilia coment za mtoa mada nikagundua ni mtu wa utani na upuuzi upuuzi hivi...yeye na le mutuz hawana tofauti sana...na hii mada yake ni upuuzi mtupu ni ya kufikirika tu haia uhalisia wowote....
 
Yaani, mama mkwe, tena ni
mwaka tu umemwoa bintiye? Nyie watu mmlaaniwa tangu tumboni mwa mama
zenu!

umeona eeh!washapigwa mihuri toka 2mboni,
alafu nimegundua k2 kuna watu huwa wanakosa chakuandika khy anabudi post akichangiwa comment nyingi roho burudani,wa2 kama hawa wadau 2wapotezee2.
 
Ushauri mzuri ni kwenda ukafanyiwe maombi, maana hilo ni pepo.
Ndo matatizo ya ndoa za watoto
 

ungeenda kuhubiri neno la mungu ningekuona wa maana kuliko kutumia nguvu kwa m2 ambae kichwanizero km jn lk.
 

huyu ni wa kupuuza tu na mada yake hii...hiv unafikiri hakijui anachofanya na anaomba ushauri?!!......halafu wewe afro nilikuwa nakutafuta..siku hizi nimekuwa shabiki wa rugby kukuzidi eti!!!...
 
nimefatilia coment za mtoa
mada nikagundua ni mtu wa utani na upuuzi upuuzi hivi...yeye na le
mutuz hawana tofauti sana...na hii mada yake ni upuuzi mtupu ni ya
kufikirika tu haia uhalisia wowote....

wenye akili km ww lazima ugundue,huyo ni chizi fresh.
 
all the best najiandaa kusoma thread yako nyingine itakayokuja kutoa funzo kwa washenzi wengine wenye tabia kama yako hiyo ya hovyo kabisa
 
nimefatilia coment za mtoa mada nikagundua ni mtu wa utani na upuuzi upuuzi hivi...yeye na le mutuz hawana tofauti sana...na hii mada yake ni upuuzi mtupu ni ya kufikirika tu haia uhalisia wowote....

Hata mimi nimeliona hilo mkuu.
Naona mleta mada kawapata kweli wachangiaji.
Jamaa hayuko serious kabisa, anaonekana kutaka sifa tu.
 
huyu ni wa kupuuza tu na mada yake hii...hiv unafikiri hakijui anachofanya na anaomba ushauri?!!......halafu wewe afro nilikuwa nakutafuta..siku hizi nimekuwa shabiki wa rugby kukuzidi eti!!!...

yaaahh
usema ukweli nimesoma comment page mbili tu za kwanza
kwa hiyo sijamfuatilia jamaa vizuri sana..

Hivi mtu unafikiria nini tu ku buni vitu kama hivi na kuleta mbele za watu??

at least angeileta kwa njia nyingine ya kuuliza swali kuliko kusema amefanya.
hata na hivyo mi kweli sijui kama ni kweli ama la.


anyway .
Nimefurahi sana kusikia umekuwa shabiki mkubwa kulio mimi.
shughuli zikipungua kidogo ntaleta ntafungua thread ya try nation.

ntakutumia PM kwa mwaliko .
nasubiri kwa hamu sana kuileta hiyo thread .
 
nimefatilia coment za mtoa mada nikagundua ni mtu wa utani na upuuzi upuuzi hivi...yeye na le mutuz hawana tofauti sana...na hii mada yake ni upuuzi mtupu ni ya kufikirika tu haia uhalisia wowote....
Mkuu hii ni story ya kweli. Nimepatwa na haya masahibu ya mama mkwe. Unataka nitumie lugha au maneno gani ndio uamini?
 
all the best najiandaa kusoma thread yako nyingine itakayokuja kutoa funzo kwa washenzi wengine wenye tabia kama yako hiyo ya hovyo kabisa
Tumia lugha ya kistaarabu mkuu. Kama huna cha ku-comment kaa kimya.
 
Iko hivi,
Umemla Mama Mtu,

Ukala Mtoto wa huyo mama ambae ndio Mkeo.

Soon unaelekea kumla mtoto wa Mkeo ambae ni mwanao. Dhambi ya kula nyama za watu hua haifutiki mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…