Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

I'm not a firecrunch. She wants it. I have given him what she deserves to get. Way foward please.
Du MAYU WEWE MKALI ! NI KWELI KINA MAMA SIKU HIZI NI BALAA! NDIO TATIZO LA KUOA WASICHANA WALIOZALIWA NA MAMA ZAO AT 18 NA 20! NAO BADO WANATAKA ! MIMI MAMA MKWA WANGU NASIKIA UNA ANANISIFIA SANA KUWA NINA TABASAMU ZURI ! NA ANAUPENDELEO WA WAZI KWANGU ILA SIAMINI KAMA ANANIA MBAYA ISITOSHE ANANIZIDI MIAKA 30!
 
Wengine hamna lolote wanaweka fantasies zao tu hapa.
 
maneno ya SULEMAN HAYA HAPA

Onyo Dhidi Ya Uzinzi

MITHALI 5:1. Mwanangu, sikiliza kwa makini hekima
yangu,
sikiliza vizuri maneno yangu ya busara,
2
ili uweze kutunza busara
na midomo yako ihifadhi maarifa.
3
Kwa maana midomo ya mwanamke mzinzi
hudondosha asali,
na maneno ya kinywa chake ni laini kuliko
mafuta,
4
lakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo,
mkali kama upanga ukatao kuwili.
5
Miguu yake inakwenda kwenye kifo,
hatua zake zinaelekea moja kwa moja
kaburini
a
.
6
Hafikiri juu ya njia ya uzima,
njia zake zimepotoka, lakini hana habari.
7
Sasa basi wanangu, nisikilizeni,
msiache ninalowaambia.
8
Njia zenu ziwe mbali naye,
msiende karibu na mlango wa nyumba yake,
9
usije ukatoa nguvu zako nzuri kwa wengine
na miaka yako kwa aliye mkatili,
10
wageni wasije wakasherehekea utajiri wako
na jitihada yako ikatajirisha nyumba ya
mwanaume mwingine.
11
Mwishoni mwa maisha yako utalia kwa
uchungu,
wakati nyama na mwili wako vimechakaa.
12
Utasema, "Jinsi gani nilichukia marudi!
Jinsi gani moyo wangu ulivyodharau
maonyo!
13
Sikuwatii walimu wangu
wala kuwasikiliza wakufunzi wangu.
a
5
Kaburini hapa maana yake ni "Kuzimuni.''
14
Nimefika ukingoni mwa maangamizi kabisa
katikati ya kusanyiko lote.''
15
Kunywa maji kutoka kisima chako mwenyewe,
maji yanayotiririka kutoka kisima chako
mwenyewe.
16
Je, chemchemi zako zifurike katika barabara
za mji
na vijito vyako vya maji viwanjani?
17
Na viwe vyako mwenyewe,
kamwe visishirikishwe wageni.
18
Chemchemi yako na ibarikiwe
na ufurahie mke wa ujana wako.
19
Kulungu jike apendaye, kulungu mzuri,
matiti yake na yakutosheleze siku zote,
nawe utekwe daima na upendo wake.
20
Kwa nini mwanangu,utekwe na mwanamke
mzinzi?
Kwa nini ukumbatie kifua cha mke wa
mwanaume mwingine?
21
Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele
za BWANA,
naye huyapima mapito yake yote.
22
Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa
yeye,
kamba za dhambi yake humkamata kwa
nguvu.
23
Atakufa kwa kukosa maonyo,
akipotoshwa kwa upumbavu wake
mwenyewe.
 
MITHALI 6:32
Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana
akili kabisa,
ye yote afanyaye hivyo hujiangamiza
mwenyewe.
 
kwa kitendo cha kumfunua nguo mama yako,Ningekuwa Mungu wewe ni moto wa milele! hata toba yako nisingeikubali, daah!
 
Piga mzigo, hapo udugu ndio umekuwa mkubwa. Tabia uendeklee nayo hata kwa watoto wako, pindi wakikuachia mapaja - Kong'oli.
 
unless kwamba hii ni stori tuu umetunga ila nina kila sababu, tena za msingi kuhoji uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua baya na zuri, haiwezekani kwa mazingira na maadili ya kitanzania utembee na mama mkwe wako, No comment for that coiz unataka tukushauri nini iwapo alipokutega hukutuambia au kutafuta ushauri...........
 
Duhhhhh kweli ww kiboko umeingia alipotokea mkeo!!!! Toa ushuhuda nani mkali ktk performance?
 
Aisee!!! Hii ni hatari kabisa,unahitaji watu wa Saikolojia kijana,matamanio yetu wakati mwingine ya kujitakia,hata mwanao akikutega hyo utajipigia tuu.
 

Mshenzi tena wa mbegu za maboga!!! Wahi muhimbili
 

WnaJF hasa wa humu MMU, qa nini mnashambulia muungwana MNYISANZU?
Wanawake wameumbwa kwa ajili ya wanaume, hivyo mwanamke akijipendekeza kwa mwanaume shurti umuoneshe uanaume wako bila kujali hadhi yake qako (Imezuiliwa qa mwanamke mmoja tu - mama'ako).

Mwanakwetu kula firigisi qa raha zako hakuna kuruhusu kuku kupita katika njia yetu.

Big UP MNYISANZU.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Majina ni kama utabiri, kuweni nayo makini. Kwa nini uitwe ZERO BRAIN? Kuna ulazima gani iwe hivyo? Matokeo yake ndiyo hayo.

Kimbia haraka katubu. Ungejisikiaje kama angekuwa ni baba yako kampitia mkeo? Au kama ni shemeji yako kwa maana ya mume wa dada yako kampitia mama yako?
 
kifuatacho utatuambia mmefanya threesome:majani7:
 

mod mpigeni ban huyu, hatakiwi na jamii.
 

Mi nakushukuru kwa kuanika ukweli wako hapa, ningekuwa mimi wangesema natunga tu!
 
ama kweli inaonyesha kuwa wewe si mtu mzuri huwezi ukajisifu kwa kupitia jamii forum maana hayo ni makosa makubwa kwa kufanya uzinzi maana kuwa kama kweli ulikuwa na mapenzi ya dhati kwa mkeo usingeweza kufanya hivyo. Pia kama ulikuwa unamuogopa Mungu ungeshinda majaribu ila ulikuwa unabeep kwa airtel mwnyw.
 

Mnyisanzu ni kabila la kule Iramba - Singida wao wanausemi wao.... "Nkyalu Mukunza n'kati n'nama" maana yake "Fisi ni ngozi kwa hapa nje lakini ndani ni Nyama" ............ kwa maana hiyo wanakula fisi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…