Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

haha...umenifraisha,sana..nao,wahenga..wana..shida,zao..bhana.
 
Diet si jambo dogo. Najitahidi kutokula usiku ila ikifika saa mbili nasiki njaa kama nimetoka somalia.


Mzigua usiache kula kabisa utajiumiza, afadhali kula something light ama matunda usiku badala ya kwenda kavukavu. Uki skip meals unasikia njaa halafu unapokuja kula unajikuta unakula sana ili kufidia..
Trick nyingine nzuri ni kusogeza muda wa dinner, uwe mapema kidogo badala ya too late.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…