Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Kuna binadamu humu aliandika kua watu wa zaman waliishi miaka mpaka1500 na walikua hawafanyi mazoezi akadai et..... kufanya mazoezi ni kuuchosha mwili na inapelekea kufa mapema, ndo maana watu wa siku hizi wanakufa na umri mdogo.
Akaenda mbal zaid akasema et ni bora tuitulze miili yetu tuachane na mazoezi, kufanya hivyo ni kupoteza muda.
Binafsi naamini mazoez ndio uhai wa mwili wa mtu na mazoezi sio lazima kunyanyua uzito mkubwa,
haha...umenifraisha,sana..nao,wahenga..wana..shida,zao..bhana.
 
Diet si jambo dogo. Najitahidi kutokula usiku ila ikifika saa mbili nasiki njaa kama nimetoka somalia.


Mzigua usiache kula kabisa utajiumiza, afadhali kula something light ama matunda usiku badala ya kwenda kavukavu. Uki skip meals unasikia njaa halafu unapokuja kula unajikuta unakula sana ili kufidia..
Trick nyingine nzuri ni kusogeza muda wa dinner, uwe mapema kidogo badala ya too late.
 
Back
Top Bottom