Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

[emoji3] [emoji3] Mkuu umenichekesha hapo kwenye "zoezi la kihindi"
Si unajua tena wahindi ni wazee wa evening walk...sasa na mie kila siku jioni nikitoka kwenye mishemishe natembea mdogo mdogo hata kilometre 6 ama 7 nikirudi nyumbani nafanya na zoezi langu la ku-squat na push - up zangu 3 ama 4 siku imepita
 
Jamani Miss Natafuta anatafuta mtu wa kukimbia nae maeneo ya old bagamoyo road,mbezi digital...!
 
Back
Top Bottom