Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unajua tena wahindi ni wazee wa evening walk...sasa na mie kila siku jioni nikitoka kwenye mishemishe natembea mdogo mdogo hata kilometre 6 ama 7 nikirudi nyumbani nafanya na zoezi langu la ku-squat na push - up zangu 3 ama 4 siku imepita[emoji3] [emoji3] Mkuu umenichekesha hapo kwenye "zoezi la kihindi"
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hongera. Mimi nimeanza kwa diet ila mambo ni tight. Nikisikia harufu ya wali nachanganyikiwa kabisa kwa kuutamani
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Diet si jambo dogo. Najitahidi kutokula usiku ila ikifika saa mbili nasiki njaa kama nimetoka somalia.
Km6 kwa km6 ama!?
Unatumia app gani!?nakimbia mtaani mzunguko wake kwa ujumla ni km 12. App ina record
inaitwa endomondoUnatumia app gani!?
Shukrani mkuu..inaitwa endomondo
HaipenziiiiiLive live itapendeza zaidi.
Asubiri atapataJamani Miss Natafuta anatafuta mtu wa kukimbia nae maeneo ya old bagamoyo road,mbezi digital...!
Mkuu kigamboni na mbezi wapi na wapi.. Akitaka kampan akuje kigamboni.Muunge mguu mkuu....