Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna koloni lako Humu?Na nani tena dear?
Of course push up na hii chuchumaa simama nimeanza jana ila kwa mwaka tangu uanze napiga zoezi la Kihindi la kutembea si chini ya Kilometa 7Ha ha ha tatu chali! Zitaongezeka hadi utajishangaa
Binafsi mwanzoni huwa nahitaji gym.Hata mi napigiaga chumbani tu, nashangaa wanaohangaika na Gym
Mi nalala basi. Ukimaliza kubebishana uje tulale.Im all yours bae...lemme be your permanent trainer.....
Na wewe aseno eeh? Njoo baridi imezidiSawa bae, football imeisha nakuja kulala sasa hivi
Siwez kamwe kukuamini najua Una koloni Humu sitak ugomvi mm moyo sina wa kustahimili maumivuIm all yours bae...lemme be your permanent trainer.....
[emoji3] [emoji3] Mkuu umenichekesha hapo kwenye "zoezi la kihindi"Of course push up na hii chuchumaa simama nimeanza jana ila kwa mwaka tangu uanze napiga zoezi la Kihindi la kutembea si chini ya Kilometa 7
Mwanaume wa peke ako utampata wapi shoga? Banana hivyo hivyoSiwez kamwe kukuamini najua Una koloni Humu sitak ugomvi mm moyo sina wa kustahimili maumivu
Pogba yupi bae?Bae hata Pogba humjui, wewe ni wife material
Sawa nitabanana lakini nisijue yanayoendelea kwingneMwanaume wa peke ako utampata wapi shoga? Banana hivyo hivyo
Hawezi kukuonyesha labda ujitiw kimbelembele utake kuyajua.Sawa nitabanana lakini nisijue yanayoendelea kwingne
Pogba kweli sura yake siijui namsikia jina tu. Mie Chelsea. Ile rangi yao ya blue naipendaWa Manchester United, ndio huyo kwenye avatar yangu. Im die hard Man Utd supporter.
Ushaharibu mipango ya watu..Mi nalala basi. Ukimaliza kubebishana uje tulale.