Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km 12 kila siku asbh12 jumla au ni 12 kwa 24!?
Na kama wengine hawawezi, basi kupalilia, kufagia uwanja, bustani, hata kufuga kuku nako mazoezi..Mwaka huu nimejiwekea lengo la kuwa FIT. Nimeanza mwaka kwa mazoezi sasa hivi namaliza mwezi najisikia vizuri sana. Mazoezi sio lazima uende Gym. Hata chumbani au nje ya nyumba yako unaweza kufanya mazoezi.
Kama mimi asubuhi(siku tano kwa wiki) nakimbia(jogging) kwa muda wa nusu saa kila siku kuzunguka eneo dogo tu nje ya nyumba. Jioni napiga push ups 300 siku tano kwa wiki. Hizi push ups napiga 30 mkupuo mmoja, zoezi zima huwa linachukua nusu saa.
Jogging inasaidia kuimarisha misuli ya miguu na kuimarisha moyo wakati push ups zinanisaidia kuimarisha misuli ya mikono na kiwiliwili kwa jumla. Huna haja ya kubeba machuma ili uwe fit. Jogging,sit ups,push ups zinatosha kukufanya uwe fit.
Thank you.Good for you! [emoji122]
Ni sign nzuri pia umemaliza mwezi and you keep going. Mara nyingi siku za mwanzo wa mwaka ndio zinakuwa moto kwa baadhi and then unapungua baadae.
Ubwaba tena, we ukitaka kujua ubwabwa nyoko cheki mpaka kuku anaupenda.. [emoji23] [emoji23]Unajua ubwabwa lakini ulivyo mtamu halafu mimi nakula vikutu vya ajabu.
Km6 kwa km6 ama!?Km 12 kila siku asbh
Ubwabwa kitu kingine. Sijui kwanini mtamu vile. Upate ubwabwa wa nazi uwiiii. Bora niko mwenyewe nyumbani dada angekuwepo ningeshashindwa hii vita.Ubwaba tena, we ukitaka kujua ubwabwa nyoko cheki mpaka kuku anaupenda.. [emoji23] [emoji23]
Impressive. Kuzunguka uwanja wa mpira mara 20 ni km 8!Mi pia mkuu.naishi karibu na kiwanja cha mpira,asubuhi nazunguka uwanja round 20 then nanyoosha viungo.kwa wiki siku 6 napumzika jumapili tu,nimezoea kiasi kwamba nsipofanya naiona cku mbaya
Wali hauna mpinzani, ukute mwali anajua kupika, kaunyonga wali nazi umenyongeka, unaweza jikuta unapiga wali bila mboga ujue.Ubwabwa kitu kingine. Sijui kwanini mtamu vile. Upate ubwabwa wa nazi uwiiii. Bora niko mwenyewe nyumbani dada angekuwepo ningeshashindwa hii vita.
. Ushawahi kula wali nazi na roast ya firigisi? Au wali nazi na samaki chukuchuku? Wali shikamooWali hauna mpinzani, ukute mwali anajua kupika, kaunyonga wali nazi umenyongeka, unaweza jikuta unapiga wali bila mboga ujue.
Unatumia app gani!?yap asbh na nina app ambayo inarecord
Hayo ndio mambo yangu, usiku huu tu nimejilia wali nazi na rosti ya bata, nishapiga plate 2 halaf naona km sielewi, nimeupangia kiporo asubuhi[emoji23] [emoji23]. Ushawahi kula wali nazi na roast ya firigisi? Au wali nazi na samaki chukuchuku? Wali shikamoo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]. Nani huyo anakupikia Makaveli? Au nazi kwa msaada wa Bakhresa?Hayo ndio mambo yangu, usiku huu tu nimejilia wali nazi na rosti ya bata, nishapiga plate 2 halaf naona km sielewi, nimeupangia kiporo asubuhi[emoji23] [emoji23]
Ukifanikiwa kumaliza full marathon hutokufa kwa heart attack.Ukikimbia sana una lose weight ni kweli. Mimi nitaacha nikishapata fitness ya kurudi kwenye bball court ila push ups siachi zinanipa strength na good upper body.
Mwenyewe... [emoji39] [emoji39][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]. Nani huyo anakupikia Makaveli? Au nazi kwa msaada wa Bakhresa?
Yaani mie nikale minazi ya bakhresa nitake radhi bhana, wakati shambani minazi mpaka inaanguka yenyewe..[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]. Nani huyo anakupikia Makaveli? Au nazi kwa msaada wa Bakhresa?