Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Aah ngoja nile ubwabwa kidogo nitakukuta mbeleJitahidi tu mwenza. Tupungue kidogi halafu tuanze kula ubwabwa kwa raha zetu. Mtu atakaeniwekea ubwabwa na samaki wa nazi naweza msomea albadir kwa kunirudisha nyuma