Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Nadhan next week na mimi nitaanza tena as nitakua niko imara kwa mazoezi!!!
 
Ila lazima nije barabarani kwa bibi nyau nikuchukue maanake hivi vichochoro unaweza kupotea,mbaya zaidi watoto wa kitaa wanaweza kuchukua vyao.
hahaaa mie mwenyewe hiyo mitaa yangu pia... ila hao vibaka tutakua tunapasha vipi [emoji4]
 
Masumu niliojaza mwilini weekend hii inabidi mazoezi week ijayo niongeze kidogo
 
Masumu niliojaza mwilini weekend hii inabidi mazoezi week ijayo niongeze kidogo

Huu ndo uzuri wa mazoezi, hujibanii kula unless kama unafanya strict diet.
Otherwise uko free kujirusha na menus, then you work it out kupunguza ziada.
 
Huu ndo uzuri wa mazoezi, hujibanii kula unless kama unafanya strict diet.
Otherwise uko free kujirusha na menus, then you work it out kupunguza ziada.
Imagine tangu asubuhi mpaka sasa hivi nimepiga Coca Cola tano! Hivyo ni vijiko 60 vya sukari....
 
Kwahio inabidi nipige push ups 20*4...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…