Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante nilishapoaPole sana.
Yeah!ni kweli...japo nia yao sio sahihi lakini inawasaidia sana pasipo hilo kuwa lengo lao
I would love to... we nipe direction ya hapo kwa Mtogole nikuje.Labda sili vizuri usiku, njoo unipikie.
hahahaaa.. waiting....Nakutumia location PM
hahaaa mie mwenyewe hiyo mitaa yangu pia... ila hao vibaka tutakua tunapasha vipi [emoji4]Ila lazima nije barabarani kwa bibi nyau nikuchukue maanake hivi vichochoro unaweza kupotea,mbaya zaidi watoto wa kitaa wanaweza kuchukua vyao.
ok. basi tegemea mgeni muda wowote anyday kuanzia sasaWakikuona na mimi siku moja tu basi siku nyingine wanakusindikiza.
hongera boss...natumai utatimiza kweli.Nadhan next week na mimi nitaanza tena as nitakua niko imara kwa mazoezi!!!
Sio swala la kutimiza mkuu, ni wajibu!! maana nisipofanya next week naweza nikaumwa yani!!hongera boss...natumai utatimiza kweli.
Sio swala la kutimiza mkuu, ni wajibu!! maana nisipofanya next week naweza nikaumwa yani!!
Masumu niliojaza mwilini weekend hii inabidi mazoezi week ijayo niongeze kidogo
Imagine tangu asubuhi mpaka sasa hivi nimepiga Coca Cola tano! Hivyo ni vijiko 60 vya sukari....Huu ndo uzuri wa mazoezi, hujibanii kula unless kama unafanya strict diet.
Otherwise uko free kujirusha na menus, then you work it out kupunguza ziada.
Kwahio inabidi nipige push ups 20*4...Samahani hua sichangii nyuzi za watu wengine za mazoezi ili nisionekane najifanya najua.
Ila nashauri Train kwa mtindo wa Tabata Protocol.
Yaani, unachokifanya kiwe na reps 20 pumzika sekunde 10, rudia tena hiko kitu kwa seti 4. Kisha pumzika dakika 1 halafu anza zoezi jingine.
Hapa nimeelezea poa zaidi
Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym
Imagine tangu asubuhi mpaka sasa hivi nimepiga Coca Cola tano! Hivyo ni vijiko 60 vya sukari....