Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Ila lazima nije barabarani kwa bibi nyau nikuchukue maanake hivi vichochoro unaweza kupotea,mbaya zaidi watoto wa kitaa wanaweza kuchukua vyao.
hahaaa mie mwenyewe hiyo mitaa yangu pia... ila hao vibaka tutakua tunapasha vipi [emoji4]
 
Masumu niliojaza mwilini weekend hii inabidi mazoezi week ijayo niongeze kidogo
 
Masumu niliojaza mwilini weekend hii inabidi mazoezi week ijayo niongeze kidogo

Huu ndo uzuri wa mazoezi, hujibanii kula unless kama unafanya strict diet.
Otherwise uko free kujirusha na menus, then you work it out kupunguza ziada.
 
Huu ndo uzuri wa mazoezi, hujibanii kula unless kama unafanya strict diet.
Otherwise uko free kujirusha na menus, then you work it out kupunguza ziada.
Imagine tangu asubuhi mpaka sasa hivi nimepiga Coca Cola tano! Hivyo ni vijiko 60 vya sukari....
 
Samahani hua sichangii nyuzi za watu wengine za mazoezi ili nisionekane najifanya najua.

Ila nashauri Train kwa mtindo wa Tabata Protocol.

Yaani, unachokifanya kiwe na reps 20 pumzika sekunde 10, rudia tena hiko kitu kwa seti 4. Kisha pumzika dakika 1 halafu anza zoezi jingine.

Hapa nimeelezea poa zaidi

Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym
Kwahio inabidi nipige push ups 20*4...
 
Back
Top Bottom