Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Hingera sana. Mimi kila asubuhi lazima nikimbie 5km na push up 200
 
Mimi nimeanza juzi Kati tu hapa Lengo ilikuwa 100PushupChallange

Day 1: 20 +10+10+10+20+15+10+10= 105

Day 2 : 30+20+15+15+15+22= 117

Day 3 : .......

Mazoez nafanya jioni tu ! Ila Nataka niwe nakimbia asubuhi kuanzia saa05:30 mpaka 06:30 kilometres 7.5 X2 kwenda na kurudi


Nipo chuoni Mademu wengi tunatengeneza Heshima [emoji41]



Driver using BMW X6
 
Huwezi kukimbia 15km kwa 30minutes Professional runers wenyewe hawawezi labda 70minutes-75minutes
Ha ha ha Marathon 42km wanapiga masaa 2 dk 5-10 wale wenyewe, half marathon 21km wanapiga 1hr 10-20m huyu jamaa 15km anatumia 30m?
 
Nakupongeza sana,
Mimi ni kama wewe nilianza mazoezi tarehe 14 January kwa kujiwekea lengo la kukimbia km 1.5 asbh na umbali huo jioni.

Nashukuru Mungu nimemudu na kwa sasa nakimbia km 3 asbh na umbali huo jioni.

Kwa kifupi nimeamua kuufanya mwili wangu wa mazoezi na nimefanikiwa kupunguza Km 12 kwa miezi mitatu hadi siku ya jana tarehe 31 March nilipopima uzito.

Kiafya kwangu hayo ni mafanikio makubwa lkn pia nimeamua huo ndio uwe utaratibu wangu kuhakikisha na burn fat na kuondoa kabisa nyama zembe jambo ambalo kwa kweli hadi sasa nimelimudu na kwa hakika nimekikata kabisa kitambi nipo flat kbs bila kurubunika na matumizi sijui ya dawa ya kutoa kitambi....!!

Utaratibu huu nimeanza kuuplant kwa familia yangu hasa watoto wangu wawili na wife ambao huwa nawabeba tunakwenda jogging ili jambo hili liwaingie vichwani na kuona ni mazoezi ni sehemu muhimu katika maisha yao na kwa kiasi tumepunguza kbs matumizi ya nyama nyekundu na wanga japo kuepukika ni ngumu kibongo bongo.

Lkn pua jambo lingine kwa sababu jogging inahusika katika marathon nyingi zinazofanyika nchini basinimejiwekea utaratibu walau kwa kwaka huu wa kwanza Mungu akipenda nishiriki marathon 4 moja wapo ambayo tayar nimeshiriki na kumaliza vema ya Kili marathon half marathon (21km)

Nawasihi sana wanaJF kushiriki ktk mazoezi ili kuweka miili imara na tutaepuka na magonjwa mengi hasa yasiyo ya kuambukiza km kisukari, mashinikizo ya damu nk.

#Fanya seriuos mazoezi futa kitambi!!

Namshukuru sana muanzishaji wa uzi huu na naomba kuwasilisha!!







Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu nimekuwa mvivu,nafanya mazoezi on and off. Ila nitakimbia at least half marathon mbili mwaka huu. Hongera sana
 
300!! Mimi 10 tuu tena ile ya 10 agriiii.. Ndio naanza lakini, kilo 89 ila sina kitambi.. Pesa ya kutisha sina hata six park nikose[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…