Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Mazoezi mtihani jamani mnaoweza hongereni aisee.....hapa toka dec nasema naanza kesho.... nitaanza rasmi mwezi wa 3 ngoja now nipumzike kwanza
Anza tarehe 1 february
 
ni wazo zuri mkuu pia utafiti unaonyesha mtu anaefanya mazoezi japo dakika 15 ndani ya masaa 24 ni ngumu sana kuja kupatwa ugonjwa wa akili, hii ni moja kati ya faida tele za mazoezi

kwa hiyo tuhamasishane wana jf kufanya mazoezi ili yasije kutupata yaliowapata kina nabii tito na deo kisandu

pia napenda mazoezi sababu kitandani unakuwa extra ordinary heshima ya nyumba inakuwepo

endelea kupiga tizi mkuu
 
Tutaandaa JF Marathon
 
[emoji23] [emoji23] mwenza nishirikishe hiyo diet yako nione kama nitaiweza
Mweza diet basi unadhan maana nikiona wali naonja kijiko kimoja.
Leo nimekunywa kahawa bila sukari na yai moja asubuhi. Mchana nyama ya kuchoma na ndizi moja. Usiku hapa saa hizi sili mpaka kesho tena asubuhi.
 
😳hii haiwezi kukuletea vidonda vya tumbo kweli?
 
Mweza diet basi unadhan maana nikiona wali naonja kijiko kimoja.
Leo nimekunywa kahawa bila sukari na yai moja asubuhi. Mchana nyama ya kuchoma na ndizi moja. Usiku hapa saa hizi sili mpaka kesho tena asubuhi.
Daah ngoja na mie nijaribu ila bila ubwabwa nitasavaivu kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…