Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifwata maneno ya wanadamu huwezi kufanya chochote
Hujanisoma vizuri au?! Hata mimi nikifanya mazoezi ndio nakula sana kwahio mwili unaongezeka vizuri, nisipofanya mazoezi naweza kula mara moja kwa siku tu.Duuh kweli tuko tofauti, basi mi nikipiga zoezi ndo appetite ya kumwaga, sema huwa najicontrol kula, vinginevyo ndo nazidi kuumuka
😀😀….ushaona hamna mrukaji kamba hapa…..Sio mbaya kuanza nazo. Ukianza leo jioni niambie nikununule juice.
Diet si jambo dogo. Najitahidi kutokula usiku ila ikifika saa mbili nasiki njaa kama nimetoka somalia.Diet muhimu, maanake unaweza kuwa unafanya kazi bure.
Nilianza jogging,planking na push ups lakini nimejikuta nimeacha bila sababu ya msingi.Mwaka huu nimejiwekea lengo la kuwa FIT. Nimeanza mwaka kwa mazoezi sasa hivi namaliza mwezi najisikia vizuri sana. Mazoezi sio lazima uende Gym. Hata chumbani au nje ya nyumba yako unaweza kufanya mazoezi.
Kama mimi asubuhi(siku tano kwa wiki) nakimbia(jogging) kwa muda wa nusu saa kila siku kuzunguka eneo dogo tu nje ya nyumba. Jioni napiga push ups 300 siku tano kwa wiki. Hizi push ups napiga 30 mkupuo mmoja, zoezi zima huwa linachukua nusu saa.
Jogging inasaidia kuimarisha misuli ya miguu na kuimarisha moyo wakati push ups zinanisaidia kuimarisha misuli ya mikono na kiwiliwili kwa jumla. Huna haja ya kubeba machuma ili uwe fit. Jogging,sit ups,push ups zinatosha kukufanya uwe fit.
😀😀…jazia matunda labda…kuziba pengo.Diet si jambo dogo. Najitahidi kutokula usiku ila ikifika saa mbili nasiki njaa kama nimetoka somalia.
Safi sana,Mwaka huu nimejiwekea lengo la kuwa FIT. Nimeanza mwaka kwa mazoezi sasa hivi namaliza mwezi najisikia vizuri sana. Mazoezi sio lazima uende Gym. Hata chumbani au nje ya nyumba yako unaweza kufanya mazoezi.
Kama mimi asubuhi(siku tano kwa wiki) nakimbia(jogging) kwa muda wa nusu saa kila siku kuzunguka eneo dogo tu nje ya nyumba. Jioni napiga push ups 300 siku tano kwa wiki. Hizi push ups napiga 30 mkupuo mmoja, zoezi zima huwa linachukua nusu saa.
Jogging inasaidia kuimarisha misuli ya miguu na kuimarisha moyo wakati push ups zinanisaidia kuimarisha misuli ya mikono na kiwiliwili kwa jumla. Huna haja ya kubeba machuma ili uwe fit. Jogging,sit ups,push ups zinatosha kukufanya uwe fit.
mimi nimekwama kila mahali yaaani kilo mia naiona hii hapa sasaHongera. Mimi nimeanza kwa diet ila mambo ni tight. Nikisikia harufu ya wali nachanganyikiwa kabisa kwa kuutamani
Small portion nitakula nikipungua. Ngoja nipingue kwanza.Kula small portions.
sili sana bnaPunguza misosi, tembea at least one hour jioni utaona matokeo.