Mareth
JF-Expert Member
- Dec 9, 2017
- 341
- 571
Na mimi naomba unifundishe mazoezi!Nitakusaidia, tuanze weekend hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi naomba unifundishe mazoezi!Nitakusaidia, tuanze weekend hii.
Tunategana jamani.View attachment 687622Nina njaa balaa sili tena mpaka kesho kutwa aah Leo mwisho
[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Ila mkuu sisi tuliopanga nyumba za uswahilini ukianza kukimbia unazunguka nyumba utaanza kuambiwa unafanya ulozi.
Kwa nini mkuuUwanja uko mbali kidogo, wengine hatutaki kuonekana tunafanya mazoezi ndo maana tunafanyia ndani.
Asante ila utanifundisha jogging tu hizo push up hapana.Ombi lako limekubaliwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tupo wengi..Mazoezi nayo discipline jamani..dah.. yaani kila nikiitupia macho kamba yangu nasema…kesho partner….
Maandalizi ya half Marathon inajumuisha mambo kadhaa.Natamani sana kumaliza hata half marathon moja kabla sijafa. Unaweza kunipa maandalizi ya half marathon?
[emoji23] [emoji23] mwenza nishirikishe hiyo diet yako nione kama nitaiwezaHongera. Mimi nimeanza kwa diet ila mambo ni tight. Nikisikia harufu ya wali nachanganyikiwa kabisa kwa kuutamani
Nani ananijali hata nikiwa kama tembo?Basi usilalamike huwezi kupungua. Utaongezeka uzito kila siku.
Nitajaribu.Maandalizi ya half Marathon inajumuisha mambo kadhaa.
Hapa nitakupa maandalizi ambayo naamini yatakusaidia. Pia hapa sikupi professional advice maana mimi si professional runner. Ni experience binafsi.
1. Jipe muda wa maandalizi kati ya wiki 5 hadi 10.
Hapa namaanisha utakuwa unakimbia more than 8kms kila weekend. Weekdays usikimbie acha muscles zipone. Maana kwa mtu anayeanza 8kms si mchezo miguu lazima itauma.
2. Fanya cardio workout kuimarisha misuli ya tumbo.
Hii muhimu sana. Misuli ya tumbo isipokuwa strong utapatwa na kichomi ukikimbia umbali mrefu. Fanya mazoezi ya kuimarisha tumbo weekdays wakati unaendelea ku-recover kwenye 8kms ulizokimbia weekend.
3. Fanya mazoezi ya kuimarisha pumzi yako (kuogelea)
Hapa kama una access na swimming pool inakuwa poa zaidi.
Mimi sina swimming pool nyumbani lakini kuna sehemu yakaribu huwa naenda kwaajili ya kuongelea. Imenisaidia sana kuimarisha pumzi yangu.
Lakini kama hauna access na swimming pool unaweza uka skip tu.
4. Siku utakayopanga kukimbia half Marathon kula vizuri.
Namaanisha siku hiyo kula matunda na mbogamboga kwa wingi. Ukiweza acha kutumia diary products siku nzima.
Nyama, maziwa, mayai, cheese na product za wanyama zitakufanya uchoke mapema. Eat ital
Pia kumbuka kupata msosi at least one hrs before.
Pacha nini tena jamani..Achana na wali....its not good for YOUR health.
Mi kibonge tu chura sinaKumbe na wewe una chura?!
Mdogo mdogo uta recover...Mie baada ya kuacha mazoezi kwa muda mrefu karibia mwaka na nusu au zaid, sababu ya goti, sasa nimeanza upya nina siku mbili, nashuka zangu bichi nakimbia mchangani, nakula round zangu za kutosha kwa kuanzia napiga asubuhi baada ya wiki kesho ntakuwa napiga asubuhi na jioni, japo leo nahisi kma maumivu hivi kwenye goti na ule mzunguko wa mkunjo wa goti.
Tunaenda gym sabab ukifanyia nyumban unajionea huruma.Hata mi napigiaga chumbani tu, nashangaa wanaohangaika na Gym