Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Mie baada ya kuacha mazoezi kwa muda mrefu karibia mwaka na nusu au zaid, sababu ya goti, sasa nimeanza upya nina siku mbili, nashuka zangu bichi nakimbia mchangani, nakula round zangu za kutosha kwa kuanzia napiga asubuhi baada ya wiki kesho ntakuwa napiga asubuhi na jioni, japo leo nahisi kma maumivu hivi kwenye goti na ule mzunguko wa mkunjo wa goti.
Beach gani mkuu unipitie
 
Ujinga wa mazoezi ya kukimbia mara nyingi una loose muscles badala ya fat body...haya mazoezi ni sahihi sana kwa wadada...mazoezi mazuri kwa wanaume ni push up,squat,kichurachura,baiskeli na kutembea mda mrefu,binafsi nkipigaga push up mwili unakuja lakini nikianza kukimbia nakonda napoteza muscles na fatbody wakati target yangu kubwa ni kuloose fatbody...
 
tuko pamoja mi huwa nahanganya push up, squart /skwashi na kanondo kangu kadogo
 
Ujinga wa mazoezi ya kukimbia mara nyingi una loose muscles badala ya fat body...haya mazoezi ni sahihi sana kwa wadada...mazoezi mazuri kwa wanaume ni push up,squat,kichurachura,baiskeli na kutembea mda mrefu,binafsi nkipigaga push up mwili unakuja lakini nikianza kukimbia nakonda napoteza muscles na fatbody wakati target yangu kubwa ni kuloose fatbody...
Unakiimbia sehemu gani mkuu!?
 
Ukikimbia sana una lose weight ni kweli. Mimi nitaacha nikishapata fitness ya kurudi kwenye bball court ila push ups siachi zinanipa strength na good upper body.
 
Mwaka huu nimejiwekea lengo la kuwa FIT. Nimeanza mwaka kwa mazoezi sasa hivi namaliza mwezi najisikia vizuri sana. Mazoezi sio lazima uende Gym. Hata chumbani au nje ya nyumba yako unaweza kufanya mazoezi.

Kama mimi asubuhi(siku tano kwa wiki) nakimbia(jogging) kwa muda wa nusu saa kila siku kuzunguka eneo dogo tu nje ya nyumba. Jioni napiga push ups 300 siku tano kwa wiki. Hizi push ups napiga 30 mkupuo mmoja, zoezi zima huwa linachukua nusu saa.

Jogging inasaidia kuimarisha misuli ya miguu na kuimarisha moyo wakati push ups zinanisaidia kuimarisha misuli ya mikono na kiwiliwili kwa jumla. Huna haja ya kubeba machuma ili uwe fit. Jogging,sit ups,push ups zinatosha kukufanya uwe fit.
Unajua ni vyema wakati mwengine tukawa wakweli tu.,chuma kimekaza mkuu,hela ya kaunta imekata lazima ugeukie mambo mbadala. Hata usingefanya hayo mazoezi lazima ungekuwa fit tu. Hahahaaaaa....eti mazoezi......loooh? Funguka kaka.,kianzio kimekata
 
Mazoezi mtihani jamani mnaoweza hongereni aisee.....hapa toka dec nasema naanza kesho.... nitaanza rasmi mwezi wa 3 ngoja now nipumzike kwanza
 
Ukikimbia sana una lose weight ni kweli. Mimi nitaacha nikishapata fitness ya kurudi kwenye bball court ila push ups siachi zinanipa strength na good upper body.
Hapo sawa ...mi napiga push mia kila siku ila naanza na 50 badae nakuja 30 badae 20,ingawa saivi napanda..51/30/20,52/30/20,53/30/20 nataka nifike 70/30/20.
 
Unajua ni vyema wakati mwengine tukawa wakweli tu.,chuma kimekaza mkuu,hela ya kaunta imekata lazima ugeukie mambo mbadala. Hata usingefanya hayo mazoezi lazima ungekuwa fit tu. Hahahaaaaa....eti mazoezi......loooh? Funguka kaka.,kianzio kimekata
Ha ha ha...naboresha afya
 
Back
Top Bottom