mtu mwembamba
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 342
- 422
Wakuu muda wa mazoezi unakaribia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzo mzuri.RRONDO nimeanza push ups round ya kwanza nilifanya 5 na kukimbia 30mins
Uwe na mzani. Mvua inaniharibia ratiba siku hiziNimeanza hii challenge jana ila nimeanzia kwenye 300....ngoja niifanye kwa mwezi nione.View attachment 715695
Kimbia kwenye trade mill ya pay as you goUwe na mzani. Mvua inaniharibia ratiba siku hizi
Pamoja mkuu... Kama na wewe unakimbia tumia app mkuu, inakua ina kupa data za umbali unaokimbia...ziko nyingine zenye running challenges ambazo zina motivate kukimbia!!!Umetisha
Ninayo kuna mtu alinipa humu, mimi huwa natumia muda badala ya umbali kwa sababu nazunguka eneo dogo.Pamoja mkuu... Kama na wewe unakimbia tumia app mkuu, inakua ina kupa data za umbali unaokimbia...ziko nyingine zenye running challenges ambazo zina motivate kukimbia!!!
Inaitwaje??Ninayo kuna mtu alinipa humu, mimi huwa natumia muda badala ya umbali kwa sababu nazunguka eneo dogo.
Nitaenda kuufuata kariakoo this weekend, ila miguu inauma.Uwe na mzani. Mvua inaniharibia ratiba siku hizi
Kati ya kuruka kamba na jogging zoezi lipi linaongeza pumzi na kupunguza weight?Saana.