Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Gym mi ndiyo nakubalii sio push up unajochosha tu ni akili yangu
 
Nimeanza hii challenge jana ila nimeanzia kwenye 300....ngoja niifanye kwa mwezi nione.
Screenshot_2018-03-14-07-06-34-1.jpg
 
Pamoja mkuu... Kama na wewe unakimbia tumia app mkuu, inakua ina kupa data za umbali unaokimbia...ziko nyingine zenye running challenges ambazo zina motivate kukimbia!!!
Ninayo kuna mtu alinipa humu, mimi huwa natumia muda badala ya umbali kwa sababu nazunguka eneo dogo.
 
Back
Top Bottom