Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani! jamani!Hivi vyakula vya Dar ni noma!Penye nia pana njia.
Wakuu nimeamua kukaanga kuku wa kisasa na kuuza barabarani. Kuna bwana mdogo atanisaidia kuuza.
Kuna vitu gn vya kipekee nifanye kuvutia wateja?
Na hyu bwana mdgo nitamlipaj?
1.usafi
2.mapishi
3.kauli nzuri
4. Huduma ya ziada ie..ndizi za kukaanga na pilipili
NB
Huyo msaidizi awe kivutio
Samaki ndio...miogo...viazi nkAsante. Nilikuwa nafikiria kukaanga na samaki. Na kufunga kweny zile karatas za foil. Na kuwawekea kwenye bahasha. Vp kwa idea hii?
Na mcheshi1.usafi
2.mapishi
3.kauli nzuri
4. Huduma ya ziada ie..ndizi za kukaanga na pilipili
NB
Huyo msaidizi awe kivutio
Hongera kwa ubunifu.Penye nia pana njia.
Wakuu nimeamua kukaanga kuku wa kisasa na kuuza barabarani. Kuna bwana mdogo atanisaidia kuuza.
Kuna vitu gn vya kipekee nifanye kuvutia wateja?
Na hyu bwana mdgo nitamlipaj?
Kwa kazi hyo mmmh.....Penye nia pana njia.
Wakuu nimeamua kukaanga kuku wa kisasa na kuuza barabarani. Kuna bwana mdogo atanisaidia kuuza.
Kuna vitu gn vya kipekee nifanye kuvutia wateja?
Na hyu bwana mdgo nitamlipaj?
Nadhani kakuelewa. Akizingatia haya atafika mbali.!Unapofikiria kuanza biashara kwanza unatakiwa kuangalia.
1.Mteja wako ni nani?
Unatakiwa umjue mteja wako kabla ya kuanza biashara yaani ni nani atakaenunua bidhaa yako.
2.Unamfikiaje
Ukishamjua ni nani pia unatakiwa utambue unamfikiaje,kwa njia zipi?
3.Unampataje
Hatua ya tatu ni unampataje,hapa unatengeneza sasa mbinu za kumpata itategemea na biashara yako.hapa ndipo mbinu za kibiashara na branding inafanyika
4.Anapatikana wapi?
Baada ya mbinu sasa unatakiwa ujue anapatikana wapi,shambani,nyumbani,barabarani ama ofisini,usije mlenga wa barabarani kumbe mteja wako yuko nyumbani.
5.Unauelewa mzuri na hiyo biashara
Kitu cha mwisho hakikisha unauelewa mzuri na hiyo biashara pia hakikisha wazo lako ni utatuzi wa tatizo usifanye kwa kuwa umejisikia na hakuna anaefanya.
Ukimaliza hayo sasa unaanza kujibrand ili upate nafasi sokoni na utambulike ili mteja apate ahadi yako na kukuamini.
kaka tutafutane maana nawahitaji sana hao 0762595958, nataka nifungue goli la vipande vya kuku sehem5,000 boss
ni wale wanene???5,000 boss
vipo dar tu kwani?Jamani! jamani!Hivi vyakula vya Dar ni noma!