Nimeanza na Kuku wa kukaanga

Nimeanza na Kuku wa kukaanga

Penye nia pana njia.
Wakuu nimeamua kukaanga kuku wa kisasa na kuuza barabarani. Kuna bwana mdogo atanisaidia kuuza.
Kuna vitu gn vya kipekee nifanye kuvutia wateja?
Na hyu bwana mdgo nitamlipaj?
Jamani! jamani!Hivi vyakula vya Dar ni noma!
 
Hongera sana mana hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Usafi mkuu zingatia hilo kuanzia bidhaa,muuzaji na mazingira unayofanyia biashara.
Noted, Asante Sana..
 
Unapofikiria kuanza biashara kwanza unatakiwa kuangalia.

1.Mteja wako ni nani?
Unatakiwa umjue mteja wako kabla ya kuanza biashara yaani ni nani atakaenunua bidhaa yako.

2.Unamfikiaje
Ukishamjua ni nani pia unatakiwa utambue unamfikiaje,kwa njia zipi?

3.Unampataje
Hatua ya tatu ni unampataje,hapa unatengeneza sasa mbinu za kumpata itategemea na biashara yako.hapa ndipo mbinu za kibiashara na branding inafanyika

4.Anapatikana wapi?
Baada ya mbinu sasa unatakiwa ujue anapatikana wapi,shambani,nyumbani,barabarani ama ofisini,usije mlenga wa barabarani kumbe mteja wako yuko nyumbani.

5.Unauelewa mzuri na hiyo biashara

Kitu cha mwisho hakikisha unauelewa mzuri na hiyo biashara pia hakikisha wazo lako ni utatuzi wa tatizo usifanye kwa kuwa umejisikia na hakuna anaefanya.

Ukimaliza hayo sasa unaanza kujibrand ili upate nafasi sokoni na utambulike ili mteja apate ahadi yako na kukuamini.
 
Wakuu, baadhi ya watu wanasema biashara ndogondogo znalipa, na hii ni mojawapo. Kuna dgo huk Mbagala inayomsaidia kumsomesha kwa ujumla pale Jitegemee. Alianza mwka jana wa 12 baada ya kumaliza F4, anaingiza sio chini ya 35,000 per day. Hivi kma una vibanda vitatu ktka maeneo yaliyochangamka, utakuwa umepga hatua gani baada mwaka mmoja?
Je utaendelea na ajira yko, uendelee na kuku au utoke uanzishe project kubwa zaidi?
 
Penye nia pana njia.
Wakuu nimeamua kukaanga kuku wa kisasa na kuuza barabarani. Kuna bwana mdogo atanisaidia kuuza.
Kuna vitu gn vya kipekee nifanye kuvutia wateja?
Na hyu bwana mdgo nitamlipaj?
Kwa kazi hyo mmmh.....
 
Unapofikiria kuanza biashara kwanza unatakiwa kuangalia.

1.Mteja wako ni nani?
Unatakiwa umjue mteja wako kabla ya kuanza biashara yaani ni nani atakaenunua bidhaa yako.

2.Unamfikiaje
Ukishamjua ni nani pia unatakiwa utambue unamfikiaje,kwa njia zipi?

3.Unampataje
Hatua ya tatu ni unampataje,hapa unatengeneza sasa mbinu za kumpata itategemea na biashara yako.hapa ndipo mbinu za kibiashara na branding inafanyika

4.Anapatikana wapi?
Baada ya mbinu sasa unatakiwa ujue anapatikana wapi,shambani,nyumbani,barabarani ama ofisini,usije mlenga wa barabarani kumbe mteja wako yuko nyumbani.

5.Unauelewa mzuri na hiyo biashara

Kitu cha mwisho hakikisha unauelewa mzuri na hiyo biashara pia hakikisha wazo lako ni utatuzi wa tatizo usifanye kwa kuwa umejisikia na hakuna anaefanya.

Ukimaliza hayo sasa unaanza kujibrand ili upate nafasi sokoni na utambulike ili mteja apate ahadi yako na kukuamini.
Nadhani kakuelewa. Akizingatia haya atafika mbali.!
 
Back
Top Bottom