Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ni hatari,naona wengi wanalalamika mabinti hawadumu,Wakipendeza wamama wanawafukuza wakihofiwa kupandishwa cheo kutoka Mke mpaka kuwa Mke Mkubwa.
Ni wajibu wake lkn kuna muda wanawake mnataka iwe lazma na ikifika muda hujafanya basi atakupa alert kuwa muda wa kudeki umefikaKwani sio wajibu wake? Ni wajibu wa nani?
Taking care of a home is a shared responsibility!
Ipo ya kuosha vyombo mkuuMsifanye kazi za ndani zinachosha sana nunueni vifaa vya kurahisisha kazi !! Mfano mashine ya kufulia , aache kutumia mkaa na kuni kwenye kupika tumieni gesi na umeme , Rice cooker , multi cooker , Pressure cooker , yaan hadi za kukaanga na kuchoma vitu !! sijaona tu mashine ya kuosha vyombo ila nyingine zote zipo tena kwa bei nzuri !! mpaka vikaango vya chapati ya hadi unga wa ngano siku hizi hatukandi ni mashine wewe kazi yako ni kuchanganya viamba upishi basi
Kazi yenu iwe kupanga vitu tu ndani na msisahau kufanya mazoezi ya mwili!!
Kwa kweli siwezi.😂😂😂😂
Ila wanaume mkiwa mnainama kudeki huwa mnachekesha sana kiukweli..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakipendeza wamama wanawafukuza wakihofiwa kupandishwa cheo kutoka Mke mpaka kuwa Mke Mkubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukitaka kumpandisha cheo mkeo, unicheki....
Kitu ambayo siwezi kufanya abadani ni kudeki na kuosha vyombo, kukaanga kitimoto kukata kachumbali na kusonga ugali ndo naweza.[emoji23][emoji23]
Ila wanaume mkiwa mnainama kudeki huwa mnachekesha sana kiukweli..!!
Kitimito ili uwe unadokoa kabla ya kupakua!Kitu ambayo siwezi kufanya abadani ni kudeki na kuosha vyombo, kukaanga kitimoto kukata kachumbali na kusonga ugali ndo naweza.
HahahaNakupa nusu mwaka mkuu, madem hawapendi kuingiliwa majukumu Yao hata kama Unaona yanawachosha vipi. mfano mzuri ushaona mjamzito akiapa kutoshika mimba milele ila zinaingia tena na tena. Hapo imetosha usirudie tena mbuzi wewe la sivyo stori zako utazikuta mtaani soon.
Sidhani! Tena natumia muda mfupi kufanya kazi kuliko yeye...saa mbili asubuhi I'm done. Only in weekend
Udogo wa mshahara unachangia pia ndo maana binti anaona bora kazi ya baa huko hakosi tips Kwa walevi mpaka elf 20 Kwa siku! Sasa mshahara wa house girl hauzidi laki Kwa mweziYaani ni hatari,naona wengi wanalalamika mabinti hawadumu,
Watu mnawaza chini tu!Hasira zake sio za kufanya kazi nyingi kuna mawili either unajikuta uko busy sana humpi ushirikiano huko ndichi, au mfuko hausomeki vizuri kama ni yakwanza basi jua siku ukirudi ukakuta hana hasira jua kuna mtu kamfanya ziishe hayo uliyofanya akaamka kwa bashasha kama ulivyosema ni kashangaa tu kukuta umefanya hvyo sio furaha kwamba ndo unatibu tatizo
Fanya umkaze kabla hujakaziwa
Me napita hv
inaenda bei gani mkuu , nimchukulie wife !!Ipo ya kuosha vyombo mkuu