Nimeanzisha utaratibu wa kufanya kazi za nyumbani: Kufua, kuosha, vyombo, kupika etc

Nimeanzisha utaratibu wa kufanya kazi za nyumbani: Kufua, kuosha, vyombo, kupika etc

Msifanye kazi za ndani zinachosha sana nunueni vifaa vya kurahisisha kazi !! Mfano mashine ya kufulia , aache kutumia mkaa na kuni kwenye kupika tumieni gesi na umeme , Rice cooker , multi cooker , Pressure cooker , yaan hadi za kukaanga na kuchoma vitu !! sijaona tu mashine ya kuosha vyombo ila nyingine zote zipo tena kwa bei nzuri !! mpaka vikaango vya chapati ya hadi unga wa ngano siku hizi hatukandi ni mashine wewe kazi yako ni kuchanganya viamba upishi basi

Kazi yenu iwe kupanga vitu tu ndani na msisahau kufanya mazoezi ya mwili!!
Ipo ya kuosha vyombo mkuu
 
Kutosha vyombo ndo kitu siwezi.Sema mwanamke ana kasumba ya ukifanya kitu anaona huo ndo wajibu wako wewe siku ukiacha ndo utajijua rangi yake.
 
Mwamba anatumia Fursa KAONA MUDA WA KUVUNJA VIKOBA UME KARIBIA,
SO ANA JIAEKA KARIBU KWA MKEWE KIMKAKATI
big up Bro
 
Nakupa nusu mwaka mkuu, madem hawapendi kuingiliwa majukumu Yao hata kama Unaona yanawachosha vipi. mfano mzuri ushaona mjamzito akiapa kutoshika mimba milele ila zinaingia tena na tena. Hapo imetosha usirudie tena mbuzi wewe la sivyo stori zako utazikuta mtaani soon.
Hahaha
 
Hasira zake sio za kufanya kazi nyingi kuna mawili either unajikuta uko busy sana humpi ushirikiano huko ndichi, au mfuko hausomeki vizuri kama ni yakwanza basi jua siku ukirudi ukakuta hana hasira jua kuna mtu kamfanya ziishe hayo uliyofanya akaamka kwa bashasha kama ulivyosema ni kashangaa tu kukuta umefanya hvyo sio furaha kwamba ndo unatibu tatizo

Fanya umkaze kabla hujakaziwa
Me napita hv
Watu mnawaza chini tu!
 
Back
Top Bottom