Nimeanzisha utaratibu wa kufanya kazi za nyumbani: Kufua, kuosha, vyombo, kupika etc

Kwani sio wajibu wake? Ni wajibu wa nani?

Taking care of a home is a shared responsibility!
Ni wajibu wake lkn kuna muda wanawake mnataka iwe lazma na ikifika muda hujafanya basi atakupa alert kuwa muda wa kudeki umefika
 
Ipo ya kuosha vyombo mkuu
 
Kutosha vyombo ndo kitu siwezi.Sema mwanamke ana kasumba ya ukifanya kitu anaona huo ndo wajibu wako wewe siku ukiacha ndo utajijua rangi yake.
 
Mwamba anatumia Fursa KAONA MUDA WA KUVUNJA VIKOBA UME KARIBIA,
SO ANA JIAEKA KARIBU KWA MKEWE KIMKAKATI
big up Bro
 
Hahaha
 
Watu mnawaza chini tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…