Hasa wapare mkuu wale sio wazima .kuna mmoja nilizaa nae mtoto WA utata siku ya kikao cha familia waliponizingua tu tukaanza kuzichapa ngumibmithiri ya Tyson Vs evander .sitakuja sahau ile SIKUWakuu, kuna wanaume wanateswa sana na wake zao.
Ngoja nakuja kueleza kisa kizima hapa. Wanawake wanatesa vibaya sana yaani km una roho ndogo km mimi unaweza ukaua mara moja.
Wanawake wanatesa vibaya sana ogopa uingie kwenye 18 za mateso ya MwanamkeHasa wapare mkuu wale sio wazima .kuna mmoja nilizaa nae mtoto WA utata siku ya kikao cha familia waliponizingua tu tukaanza kuzichapa ngumibmithiri ya Tyson Vs evander .sitakuja sahau ile SIKU
Unazo ona zinafaa kuishi naoAkili zipi za kuvukia Barabara au?
TusichoshaneZipi zitaje
Manunga embe, watikisa matako TikTok madangapromax makumanyokoh..Achana na wanawake wenye matatizo ya afya ya akili mkuu, tufuta mwanamke bora utakuja kunishukuru.