proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
dronedrakeHahaha dawa ni kukataa ndoa tu.

Msiwege mnaoaWakuu, kuna wanaume wanateswa sana na wake zao.
Ngoja nakuja kueleza kisa kizima hapa. Wanawake wanatesa vibaya sana yaani km una roho ndogo km mimi unaweza ukaua mara moja.
Umeshaua wangapi mpaka sasa?Wakuu, kuna wanaume wanateswa sana na wake zao.