Nimeapply clinical medicine. Je naweza nikachaguliwa Kwa completion hii?

Nimeapply clinical medicine. Je naweza nikachaguliwa Kwa completion hii?

Nimeapply clinical medicine kibaha, nafasi Kwa wanaume ziko 24. Tulioomba ni 1800 plus. Nina point 6 kwenye PCB, je nitapata kweli?
Kwani dirisha la application limeshafunguliwa? Nipe link.

Itategemea ushindani ukoje na ufaulu wa applcants!
 
Ushauri wangu omba na vyuo vingine ambavyo havina ushindani mkubwa...kwa sasa vyuo vyote vya serikali vinafananabutakayoyapata kibaha vitalingana na kigoma tofauti ndogo sana. Kuendelea kuangalia majina unaweza jikuta umekosa nafasi ikagharim kumbuka jambo hili first raound ikipata vyuo serikali vyote hujaa.
 
Nimeapply clinical medicine kibaha, nafasi Kwa wanaume ziko 24. Tulioomba ni 1800 plus. Nina point 6 kwenye PCB, je nitapata kweli?
Apply vyuo vingine haswa vya private, soma semester moja, hakikisha unafauli vizuri mitihani yako ya mwisho bila sup, semester inayofuata omba uhamisho uende hapo kibaha.
 
Ndio.
Una uhakika!
Wanalipwa bei gani? Wamejaa sasa hvi kila mahala. Ni waoga wa kutafuta ela ndio wanakimbilia huko. Nchi kama Tanzania kazi ngumungumu hazilipi. Ni patapotea. Nitajie matajiri wa maana waliosoma hiyo takataka !
 
Back
Top Bottom