Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ushauri wengi hawautaki wakimaliza utawakuta mtaani wanalipwa buku 7-10 wakati wenzao wenye dip wananyenyekewa na kupewa shavu fasta.Ningekua wewe honestly nisingeenda kusoma hiyo. Kuna biomedical engineering, vile vioptometry, na vikozi vingine vingine vidogo vidogo ambavyo still vina market. COs wapo kama wote na demand yao ni ndogo sana
Haina maana Kwa asiyekuwa na mpango wa kwenda chuo kikuuAdvance haina umuhimu
Badae ndo huwa wanaanza kujutia sijui wanaona sifa kuvaa yale makot meupeHuu ushauri wengi hawautaki wakimaliza utawakuta mtaani wanalipwa buku 7-10 wakati wenzao wenye dip wananyenyekewa na kupewa shavu fasta.
Hili limeshakuwa janga la taifa mkuu. Vyuo vya private huwa wanatuma sms kwa wahitimu kwmba umechaguliwa kujiunga na chuo fulani clinical Medicine wakati mtu hata hakuomba, wengi huingia mkenge na kufurahia wanaenda kusoma hiyo course lakini ubora wa elimu bure kabisa. hawa watu serikali isipoangalia wanatuzalishia watu wa hovyo na hospital uchwara za private nazo zinachukua haohao maana ni rahisi kuwamudu kuwalipa hela ndogoUkweli vyuo vya private vingi havina weledi mmeharibu hii kozi matokeo yenu mengi ni ya kutengeneza,mmefanya kozi za afya ni biashara ili kuvutia vijana. Watoto wanahitimu ikiwa shule hamna kabisa kichwani ukikutana nae eneo la kazi majanga makubwa.
Kama anauwezo wa kupiga msuli wa uhakika basi aende advance ili apate njia nzuri ya kwenda chuo kikuu kw couse anayoipend ila kama nguvu ya kupiga msuli anajiona ni ndogo basi asithubutu kwenda maana atapoteza muda tu na huenda akaja kurudi tena kutumia cheti cha form 4Advance haina umuhimu
Mimi bwana kuna bro mmoja(tuna ukarinu sana) ni dentist ana maisha kinoma yule mwamba aliwahi nishauri nisome dental au Mionzi kwakua hazina watu nikaadharau na niliikua na wenzangu wa wanne tulienda kuomba ushauri maana kila mmoja alitaka awe daktari. aah nikaona huyu vipi anazingua,mwanangu 1 akaenda Radiolody na mwingine meno na kuna mmoja akaenda zake Civil na Mwingine maswala ya anga.Badae ndo huwa wanaanza kujutia sijui wanaona sifa kuvaa yale makot meupe
Vyuo vya gvt ni isue huwa wanataka 1 kwanza iyo 6 point ni added adv ambayo inazingatiwaNimeapply clinical medicine kibaha, nafasi Kwa wanaume ziko 24. Tulioomba ni 1800 plus. Nina point 6 kwenye PCB, je nitapata kweli?
Chuo kinajiita cha afya hakina hata sehemu ya mafunzo wanategemea kwenda kukodi tena kwa mwaka mara moja na wakifika huko hawalipi walimu watoto wanajiendea tu kama mbuzi hakuna ufuatiliaji wala nini.Hili limeshakuwa janga la taifa mkuu. Vyuo vya private huwa wanatuma sms kwa wahitimu kwmba umechaguliwa kujiunga na chuo fulani clinical Medicine wakati mtu hata hakuomba, wengi huingia mkenge na kufurahia wanaenda kusoma hiyo course lakini ubora wa elimu bure kabisa. hawa watu serikali isipoangalia wanatuzalishia watu wa hovyo na hospital uchwara za private nazo zinachukua haohao maana ni rahisi kuwamudu kuwalipa hela ndogo
Kibaha pale ni pata potea ujue ni chuo kinachopendwa sana na kinapokea disco nyingi za MD wanaangalia criteria zao za mwaka huoNimeapply clinical medicine kibaha, nafasi Kwa wanaume ziko 24. Tulioomba ni 1800 plus. Nina point 6 kwenye PCB, je nitapata kweli?
Medicine ni shule ya kujituma sana la sivyo unatoka kapa au unakuwa unajua theory tu kuiapply kwa mgonjwa ni issueChuo kinajiita cha afya hakina hata sehemu ya mafunzo wanategemea kwenda kukodi tena kwa mwaka mara moja na wakifika huko hawalipi walimu watoto wanajiendea tu kama mbuzi hakuna ufuatiliaji wala nini.
Kuna chuo niliwahi kuona mwanafunzi anafanya mtihani wa Nacte katika eneo la kusubiri wagonjwa ndo kapewa mgonjwa achukue history na hakufanya Examination hata moja chap kaenda kupresent na wengine wanaambiwa wakatafute wagonjwa wanaenda hata kwa mtu yeyote anaingia nae then wanamwagwa tu hakuna wasimamizi anapika history yake anaenda kupresent vuluvulu nakumbuka tulilalamika sana kwa wasimamizi wetu walisema wao hayawahusu wandili na mahala walipopangiwa tu.
Wasimamizi wetu walikua hawaruhusu kurudia mgonjwa walikua radhi mtihani ughairishwe au kuhama hospital kutafuta mgonjwa.
Lakini angalau Gvt kuna nidham huwezi linganisha na huko..Medicine ni shule ya kujituma sana la sivyo unatoka kapa au unakuwa unajua theory tu kuiapply kwa mgonjwa ni issue
Wapikaji wapo sana kila sehemu shule yetu ilikuwa strict lkn kuna yanki mmoja alikuwa anapika balaa tena usiku asbh yeye akipangiwa mgonjwa ni kumrivew tu dkk 10 kisha maliza na lizcha ya usimamizi wa vurugu hakuweza kukamatwa kabisa mpaka tunamaliza
Acha kabisa hiyo nayo ni taranta
Private hapanaApply vyuo vingine haswa vya private, soma semester moja, hakikisha unafauli vizuri mitihani yako ya mwisho bila sup, semester inayofuata omba uhamisho uende hapo kibaha.
Umeuliza ukiwa serious?Ulivyoenda advance ulipata faida gani
Maneno ya watu waliofeli form four.Advance haina umuhimu