Nimeapply clinical medicine. Je naweza nikachaguliwa Kwa completion hii?

Nimeapply clinical medicine. Je naweza nikachaguliwa Kwa completion hii?

Nime
Nimepata Div 1 point 14¹
Tatizo mnaweka mbele mambo ya division na points. Kikubwa ni Ufaulu katika Masomo ya Physics, Chemistry, Biology na English. Kama umepata hizo zote As definitely huwezi kuachwa. Je, una alama ipi katika hayo masomo
 
Nakushukuru kwa maoni yako, lakini kama chuo kinatoa first class zaidi ya asilimia 70 siamini hilo neno ni

Nakushukuru kwa maoni yako, lakini kama chuo kinatoa first class zaidi ya asilimia 70 siamini hilo neno ni pake
Ukweli vyuo vya private vingi havina weledi mmeharibu hii kozi matokeo yenu mengi ni ya kutengeneza,mmefanya kozi za afya ni biashara ili kuvutia vijana. Watoto wanahitimu ikiwa shule hamna kabisa kichwani ukikutana nae eneo la kazi majanga makubwa.
 
Nime
Nimepata Div 1 point 14¹
Mzeee hawaangalii Division 1 wanaangalia Masomo yale matatu mama(Phy,Chem na Bios) na mawili ya ziada Math na Eng score zako zilikuaje. Unaweza ukawa na kijiti ila bado umefanya vibaya hayo masomo unaachwa.
 
Math B, Chem, A, Biology B Phy C English C
 
Math B, Chem, A, Biology B Phy C English C
Utapata ila omba vyuo vyenye ushindani mdogo vya serikali vipo vizuri na elimu ni ile ile. Achana na vyuo vikongwe ni sifa na kujiweka kwenye risk ya ushindani lakini shule ni ile ile mkuu.
 
Utapata ila omba vyuo vyenye ushindani mdogo vya serikali vipo vizuri na elimu ni ile ile. Achana na vyuo vikongwe ni sifa na kujiweka kwenye risk ya ushindani lakini shule ni ile ile mkuu.
Unaweza kunipa mfano wa vyuo hivyo?
 
Ukweli vyuo vya private vingi havina weledi mmeharibu hii kozi matokeo yenu mengi ni ya kutengeneza,mmefanya kozi za afya ni biashara ili kuvutia vijana. Watoto wanahitimu ikiwa shule hamna kabisa kichwani ukikutana nae eneo la kazi majanga makubwa.
Tunashukuru kwa mawazo yako!

Hoja yako ni ya ujumla bila kuwa na data. Katika vyuo vya Afya, mitihani hutungwa na Wizara ya Afya. Mitihani inasimamiwa na Wizara ya Afya. Mtihani ni mmoja huo huo kwa vyuo vya Serikali hata vya Private. Mitihani inasahihishwa Dodoma na Wizara ya Afya.

Hapo huoni kuwa mtizamo wako si sahihi.
 
Ninajua ninachosema mzee sibahatishi,upangaji wa matokeo hua unaanza semista ya kwanza kuwapa maksi zisizostahili (mnaita kubebana ili GPA zisome kali). Semista ya pili CAT zote munawabeba vijana wenu ikifika Nacte wale wasimamizi wa wodini wanapangwa vyema watoto wapewe maksi bwerere na pia Theory mnaongoza kwa kuiba mitihani.

Haya mambo yote yanajulikana sana sema ndo tupo kwemye nchi mifumo yake imejaa siasa hata kwenye mambo ya msingi ndo maana product za sasa hata kuhoji mgonjwa tu kipengele hakuna kitu wamebaki kuwapa watu matibabu yasiyokua na mbele wala nyuma.
 
Tunashukuru kwa mawazo yako!

Hoja yako ni ya ujumla bila kuwa na data. Katika vyuo vya Afya, mitihani hutungwa na Wizara ya Afya. Mitihani inasimamiwa na Wizara ya Afya. Mtihani ni mmoja huo huo kwa vyuo vya Serikali hata vya Private. Mitihani inasahihishwa Dodoma na Wizara ya Afya.

Hapo huoni kuwa mtizamo wako si sahihi.
We fanya biashara yako ila kwenye ishu za elimi tunajua makando kando mengi hivi vyuo vya private yanayofanya...ndo maana leo hata wadau wanasema ukitaka GPA kubwa nenda Private kwasababu inajulikana mnavyobebana. Tunao marafiki wamesoma huko tunajua na pia tumeshuhudia sana mahospital hayo ya kubebana.
 
Nenda form five achana na huyo course Haina Soko na pia utakwama kwenda chuo kikuu ukipitia huo mkondo wa clinical medicine
Now hakuna njia rahisi kwenda MD vijana wanayoitaka hata huko Advance bila 1.3-1.5 kupata chuo cha serikali kipengele na kwenye Diploma nako kugumu bila GPA ya 5 kwa sasa changamoto ni yeye tu aangalie.
 
Back
Top Bottom